NIDA tunaka vitambulisho vyetu vya Taifa

NIDA tunaka vitambulisho vyetu vya Taifa

Puyugu 01

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
573
Reaction score
455
Miaka inayoyoma tangia zoezi ili lisilojulikana mwisho wake lianze, kila hatua tumepitia, hatua ya mwisho tuliambiwa ni ile ya kupiga picha na kuchukuliwa "fingerprint"sijui ndio nini hiyo, lakini cha ajabu tangia tukamilishe hilo zoezi tuliloambiwa ni la mwisho kisha utaratibu wa kupewa vitambulisho ufuate.

Hakuna chochote kinachoendelea, mimi nimepigwa picha na hiyo fingerprint unafika mwaka wa pili sasa lakini hakuna dalili yoyote ya kupewa vitambulisho hivyo, juzi kuna mtu kaniambia watumishi wa Serikali wote wamepewa na zoezi lao la kupata halikuchukua hata miezi miwili, hivi hii nchi mbona inaubaguzi wa hatari kiasi hiki?, inamana nchi hii ni ya watumishi wa siri kali pekee? NIDA acheni double standard, tupeni vitambulisho vyetu tumechoka kusubiri, ni hayo tu.
 
Miaka inayoyoma tangia zoezi ili lisilojulikana mwisho wake lianze, kila hatua tumepitia, hatua ya mwisho tuliambiwa ni ile ya kupiga picha na kuchukuliwa "fingerprint"sijui ndio nini hiyo, lkn cha ajabu tangia tukamilishe hilo zoezi tuliloambiwa ni la mwisho kisha utaratibu wa kupewa Vitambulisho ufuate, hakuna chochote kinachoendelea, mimi nimepigwa picha na hiyo fingerprint unafika mwaka wa pili sasa lkn hakuna dalili yoyote ya kupewa Vitambulisho hivyo, juzi kuna mtu kanambia watumishi wa serikali wote wamepewa na zoezi lao la kupata halikuchukua hata miezi miwili, hivi hii nchi mbona inaubaguzi wa hatari kiasi hiki!!?, inamana nchi hii ni yawatumishi wa Siri kali pekee?

NIDA acheni double standard, tupeni Vitambulisho vyetu tumechoka kusubiri, ni hayo tu.
Kwel kabsa mm tangu mwaka Jana mwanzon mpka wa leo wapo kmya
 
Ni kweli Kabisa,mambo yetu mengi ya kimaendeleo yamekwama kisa Vitambulisho vya NIDA ukienda Brela kufungua kampuni hauwezi pasipo kitambulisho,aya na passport ya kusafiria pia hivyo ivyo, mpaka mtu unajikuta ufanyi lolote kisa NIDA, lkn wakae wakijua kwamba wamepoteza mapato mengi sana kuchelewesha Vitambulisho, kwani makampuni ambayo yangeshafunguliwa yangeanza kulipa kodi lkn ndo ivyo serikali aioni hasara zengine.... Tunaomba mchakato uarakishwe wa Vitambulisho vya NIDA tupate kwa wakati.
 
Back
Top Bottom