Wanyama hawaongezi Watalii!

Wanyama hawaongezi Watalii!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Siku tukija kulifahamu hili basi tutaongeza idadi ya Watalii wanaokuja kutembelea nchi yetu hata mara 5 ya sasa!

Tumelelewa na hii imani potofu kwamba Watalii wanakuja kuangalia Wanyama, ingawaje ni kweli kwa kiasi fulani lkn wanaokuja kwa ajili hiyo ni wachache sana, Watalii wengi wanataka kuja beach nzuri kama Zanzibar, kwenye visiwa kwa kifupi wanataka kula bata na siyo ujinga wa kuangalia tembo wakipandana, huu ujinga walitujaza Wazungu, ukiangalia nchi zinazoongoza kuleta Watalii Duniani hawafugi wanyama kama sisi, angalia Paris, Uhispania, Tokyo, New York, Sheli sheli, Mauritius, hata AK watalii wengi wankwenda kwa ajili ya Cape town, Durban na siyo Kruger park au hata Kenya Watalii wengi hawaendi Masai Mara bali wanaenda Malindi, Mombasa na Visiwani huko.

Nina uhakika kwa mfano kama maeneo yetu ya kale kama Bagamoyo tungewekeza vizuri Watalii wangefurika, hata Kigoma, Tabora au Mwanza na Kagera kuzunguka Ziwa kama tungewekeza kwenye beach nzuri na mahali pa chill na relax watu wangefurika kwa fujo, hata tu Matamasha kama vile yale ya Zanzibar tungeongeza labda Bagamoyo kwa mfano mambo ya pale Chuo za Sanaa kungekuwa na Tamasha kubwa na kulifanyia promosheni ya kutosha wangejaa kama vile ZIFF ya Zanzibar, kwanza kwa maoni yangu hata tungeshirikiana kama nchi na clouds na kuikuza Fiesta na kuifanya ki-professional zaidi pia ingechangia lkn siyo huu ujinga wetu wa sasa wa kutenga maeneo yetu heka na heka kwa ajili ya Wanyama, hatutafanikiwa ng'o!

By the way zaidi ya 50% ya Watalii wanaokuja TZ, hawaji kwa jili ya Wanyama bali wanaenda Zanzibar, ukiondoa Zanzibar idadi ya Watalii itapungua kwa 50%, ...
 
Siku tukija kulifahamu hili basi tutaongeza idadi ya Watalii wanaokuja kutembelea nchi yetu hata mara 5 ya sasa!

Tumelelewa na hii imani potofu kwamba Watalii wanakuja kuangalia Wanyama, ingawaje ni kweli kwa kiasi fulani lkn wanaokuja kwa ajili hiyo ni wachache sana, Watalii wengi wanataka kuja beach nzuri kama Zanzibar, kwenye visiwa kwa akifupi wanataka kula bata na siyo ujinga wa kuangalia tembo wakipandana, huu ujinga walitujaza Wazungu, ukiangalia nchi zinazoongoza kuleta Watalii Duniani hawafugi wanyama kama sisi, angali Sheli sheli, Mauritius hata Kenya Watalii wengi hawaendi Masai Mara bali wanaenda Malindi, Mombasa na Visiwani huko.

Nina uhakikakwa mfano kama maeneo yetu ya kale kama Bagamoyo tungewekeza vizuri Watalii wangefurika, hata Kigoma, Tabora au Mwanza na Kagera kuzunguka Ziwa kama tungewekeza kwenye beach nzuri na mahali pa chill na relax watu wangefurika kwa fujo, lkn siyo huu ujinga wetu wa sasa wa kutenga maeno heka na heka kwa jili ya Wanyama, hatutafanikiwa ng'o!

By the way zaidi ya 50% ya Watalii wanaokuja TZ, hawaji kwa jili ya Wanyama bali wanaenda Zanzibar, ukiondoa Zanzibar idadi ya Watalii itapungua kwa 50%, ...

Ni kweli hata mimi sioni sababu ya kufunga safari kwenda mbugani kwa ajili ya kuwaangalia faru john na faru ndugai, huo utakuwa ni ushamba na ulimbukeni, faru wenyewe ni wakorofi
 
Ni kweli hata mimi sioni sababu ya kufunga safari kwenda mbugani kwa ajili ya kuwaangalia faru john na faru ndugai, huo utakuwa ni ushamba na ulimbukeni, faru wenyewe ni wakorofi
Unaogpa kuliwa mkuu na faru
 
WANYAMA UNYAMANI,wanyama wamekuwa kikwazo cha wananchi kuingia porini kujitafutia lishe kama matunda,mizizi na asali.Mapori yanalindwa vikali mwananchi asiingie kujipatia kitoweo
 
Tuna beach nzuri sana Tanzania kuanzia Mtwara Dar mpaka Tanga Pangani na Tongoni.
Kinachotakiwa ni kuwekeza kwenye sector ya utalii zaidi.
Kuwa na magari ya kuvutia na imara ambayo yanaweza kuchukua watalii kutoka Pangani mapaka Arusha na kutembea Ngorongoro mpaka Serengeti
Mtalii awe na choice ya combination trips atakazofanya
Kukaa beach na safari. Mbuga au kupanda mlima.
Kuwe na package holidays akishalipa hakuna tena usumbufu
 
Ofcourse....lakn mi mwenyewe naona kama hatutaki kuongeza vivutio vya utalii kwa kuvijenga wenyewe na kuvitengeneza.....tumebaki tunakumbatia utalii wa wanyama ambao kila dakika wanapungua
 
Ofcourse....lakn mi mwenyewe naona kama hatutaki kuongeza vivutio vya utalii kwa kuvijenga wenyewe na kuvitengeneza.....tumebaki tunakumbatia utalii wa wanyama ambao kila dakika wanapungua
Kuna wakati Kenya Waziri wao wa utalii alikuwa mzungu na aliimarisha sana utalii miaka ya 90. Exposure inasaidia
 
Siku tukija kulifahamu hili basi tutaongeza idadi ya Watalii wanaokuja kutembelea nchi yetu hata mara 5 ya sasa!

Tumelelewa na hii imani potofu kwamba Watalii wanakuja kuangalia Wanyama, ingawaje ni kweli kwa kiasi fulani lkn wanaokuja kwa ajili hiyo ni wachache sana, Watalii wengi wanataka kuja beach nzuri kama Zanzibar, kwenye visiwa kwa kifupi wanataka kula bata na siyo ujinga wa kuangalia tembo wakipandana, huu ujinga walitujaza Wazungu, ukiangalia nchi zinazoongoza kuleta Watalii Duniani hawafugi wanyama kama sisi, angalia Paris, Tokyo, New York, Sheli sheli, Mauritius, hata AK watalii wengi wankwenda kwa ajili ya Cape town, Durban na siyo Kruger park au hata Kenya Watalii wengi hawaendi Masai Mara bali wanaenda Malindi, Mombasa na Visiwani huko.

Nina uhakika kwa mfano kama maeneo yetu ya kale kama Bagamoyo tungewekeza vizuri Watalii wangefurika, hata Kigoma, Tabora au Mwanza na Kagera kuzunguka Ziwa kama tungewekeza kwenye beach nzuri na mahali pa chill na relax watu wangefurika kwa fujo, lkn siyo huu ujinga wetu wa sasa wa kutenga maeno heka na heka kwa jili ya Wanyama, hatutafanikiwa ng'o!

By the way zaidi ya 50% ya Watalii wanaokuja TZ, hawaji kwa jili ya Wanyama bali wanaenda Zanzibar, ukiondoa Zanzibar idadi ya Watalii itapungua kwa 50%, ...
kabisa kabisa kwa hizi muvi wanazotuletea wana lumumba mbona tuue tu tembo wote ..wazungu wakitaka shangaa watakuja kuangalia ujinga wetu watanzania maana nayo ni maajabu ya dunia..../.kila eneo lina unique feature yake we mtu utafanananisha beach za zanzibar na copacabana au seychelles acha kujitoa ufahau kwa safari tours dunia nzima Tanzania inasifika kwa hilo kila siku ngorongoro kina oprah winfrey wabakuja angalia wanyama
 
Kuna wakati Kenya Waziri wao wa utalii alikuwa mzungu na aliimarisha sana utalii miaka ya 90. Exposure inasaidia
Yaaaaahhhh...just imagine maeneo kama dubai hawana mbuga wala hawana milima sijui matakataka gn......lkn ndo nchi inayopiga hela za watalii vibaya mnooo......
 
Vacation spots ziboreshwe.

Lakini pia hali ya usalama, sera, gharama na namna ya uongozi inaathiri utalii pia.

Hakuna anayetaka kuja sehemu ambayo ina matangazo mengi ya watu kuokotwa hawajitambui au wakiwa maiti kwenye viroba.
 
Yaaaaahhhh...just imagine maeneo kama dubai hawana mbuga wala hawana milima sijui matakataka gn......lkn ndo nchi inayopiga hela za watalii vibaya mnooo......
Katibu mkuu wa wizara angeletwa mtu mwenye mbinu mpya. Anaejua jinsi ya kuwaleta na kuwajengea mazingira rafiki. Awe anampa to waziri upto dates
 
kabisa kabisa kwa hizi muvi wanazotuletea wana lumumba mbona tuue tu tembo wote ..wazungu wakitaka shangaa watakuja kuangalia ujinga wetu watanzania maana nayo ni maajabu ya dunia..../.kila eneo lina unique feature yake we mtu utafanananisha beach za zanzibar na copacabana au seychelles acha kujitoa ufahau kwa safari tours dunia nzima Tanzania inasifika kwa hilo kila siku ngorongoro kina oprah winfrey wabakuja angalia wanyama


Acha kujidanganya wewe, Tembo wana upekee gani? AK wanawazalisha mpaka wanawauwa, isitoshe Oprah anakwenda na kwingine pia ambako hkn Wanyama, kwanza ukifika Capetown unakumbana na watu maarufu kitaani tu, mimi nishamuona Chris Rock anachill kitaa nilipokuwa Capetown na hakuna Matembo!
 
Karibu mkuu wa wizard angeletwa mtu mwenye mbinu mpya. Anaejua jinsi ya kuwaleta na kuwajengea mazingira rafiki. Awe anampa to waziri upto dates
Exactly........ila ndo hvo sasa.......hela zenyewe wanagawana......kujenga tu system za kupeleka maji baharini na miundombinu ya jiji lao wameshindwa.......basi bhana.

Tusitegemee akili zao kubadilika hata siku moja....ndo hapo hapo wameishia
 
Barbarosa kuna wakati kichwa kikiwa kimetulia ukaweka ushabiki wa chama pembeni una vitu vya maana tena vya kujenga. Niwe mkweli, kwa hili bandiko umelitendea haki na kuonyesha uwezo wako, hongera sana.

Kwa kuongezea tu, tuboreshe miundo mbinu, na vilevile kinachotakiwa ni ubunifu zaidi, vivutio vinatengenezwa.
Tunahitaji watu wenye maono na nia kwenye hii sekta, unaona China na sehemu zingine ulizozitaja, wametengeneza vitu vya kijingakijinga tu kwenye beach zao na vimilima na mawe ya uongo na ukweli, lakini mkifika mnatembezwa unabaki unajiuliza, hivi kwetu tuna vitu bora kuliko hivi, tumeshindwa wapi? Kubuni hatuwezi, hata kunakili tu tumekwama???

Narudia tena, endelea kuleta mijadala ya aina hii upatapo nafasi, uwe na siku njema.
 
Acha kujidanganya wewe, Tembo wana upekee gani? AK wanawazalisha mpaka wanawauwa, isitoshe Opra anakwenda na kwingine pia ambako hkn Wanyama, kwanza ukifika Capetown unakumbana na watu maarufu kitaani tu, mimi nishamuona Chris Rock anachill kitaa nilipokuwa Capetown na hakuna Mtembo!
ah ah ila kuna faru john..ila honestry speaking hivi wachangia hoja humu ndani kuna ambaye ameshawahi kwenda mbuga yoyote ya wanyama...maana .mi nimetembelea mikumi,saadan,kilwa ,bagamoyo ,mlima kilimanjaro na arusha national park..ukienda kwote huko hamna mazingira rafikikuenjoy yaani ni kama hamna aliyejipanga....gharama za kodi zimekua kubwa zinawaumiza wamiliki wa hotel,hamna taarifa kamili ya kile mnachoenda kiangalia,uelewa wa watu kuhusu utalii ni mdogo hapo ni ndani ya nchi emagine nje watajuaje,....sasa hapo unategemea nn...yaani kang"ombe hako hako kila mmoja anakanyonya...atleast mlima kilimanjaro naona mazingira yameboreshwa nalo nadhan linasababishwa na jinsi wakenya wanavyoutangaza mlima wetu nje ya nchi
 
Back
Top Bottom