Maduka na migahawa siku za Alhamisi Manispaa ya Kigoma

Maduka na migahawa siku za Alhamisi Manispaa ya Kigoma

sliding

Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
82
Reaction score
57
Wadau mimi napata tabu kidogo na aina hii ya usafi inayopelekea huduma kufunguliwa saa nne asubuhi.Ukifika mgeni kigoma siku za alhamisi Kigoma kwa kweli unapata shida kama kuna huduma unahitaji aidha madukani au hotelini.Utaambiwa ni siku ya usafi maduka yamefungwa na huoni anayefanya usafi na mazingira ni machafu.Huu usafi unafanyika wapi?Kwa mfano Tanga siku ya usafi utakuta kila mtu kwenye biashara yake akifanya usafi,lakini Kigoma wanakuja kufungua biashara hiyo saa nne.Mimi kidogo hapa sielewi.Siku za kawaida tu biashara zinafunguliwa kuanzia saa 2:30 asubuhi.Mikoa mingine huduma kuanzia saa 12 unapata.Kigoma acheni umwinyi!
 
Back
Top Bottom