Old is Gold? Wangerudisha Rangi za Ndege Yetu...

Old is Gold? Wangerudisha Rangi za Ndege Yetu...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,239
Reaction score
44,476
I am a little bit nostalgic today...

5H-DAR_TCA.jpg


5777819129_b663e64fe4_b.jpg


historic02_1.jpg



Hizi rangi kwa ndege yetu, na maandishi, na twiga vilipendeza bana.. Ngorongoro, Serengeti.. Kilimanjaro... Kwanini wasirudishe rangi ya hizi ndege kama sehemu ya kujibrand upya.. hizi rangi za hapa chini sijui ni genius gani alikuja nazo.. makes no sense!

31887_1179863405.jpg


ATCdh8d4492YYZ1609AndyCline-1189s-new-1024x452.jpg
 
Hapo inawezekana huyo genius alipata cha juuu.
Aliiba rangi.
Wabongo usi wa undermine walipeleka kokote hadi kwa vietnam.
Wavietnam walijua ni korosho

Yaani hadi leo sijaelewa, hizi rangi zilikuwa na ubaya gani? yaani ulikuwa hata ukipanda unajisikia 'fahari' na ndizo hizi kina Kapt. Mazula na wenzake waliziokoa kutoka kuvunjika kwa EAC... Natumaini wataona wenye kuhusika wala si jambo baya.. hakuna kitu wakati mwingine kizuri kama nostalgia..
 
I am a little bit nostalgic today...

5H-DAR_TCA.jpg


5777819129_b663e64fe4_b.jpg


historic02_1.jpg



Hizi rangi kwa ndege yetu, na maandishi, na twiga vilipendeza bana.. Ngorongoro, Serengeti.. Kilimanjaro... Kwanini wasirudishe rangi ya hizi ndege kama sehemu ya kujibrand upya.. hizi rangi za hapa chini sijui ni genius gani alikuja nazo.. makes no sense!

31887_1179863405.jpg


ATCdh8d4492YYZ1609AndyCline-1189s-new-1024x452.jpg

Kuna rangi za ndege; halafu kuna rangi za panzi!
 
Huyo ni "jiniazi'jiwe na mkakati wa "mageuzi"(maigizo)hapo penye twiga sasa aliona twiga yule aliye simama shirika nalo lilisimama bora anaye kimbia(kama anakimbia mabomu)labda shirika nalo litakimbia.Ila afadhali hawakuzinajisi rangi zetu nzuri kwa vindege gani!?(just a fun)Nampenda sana "jiniazi"jiwe kwa maubunifu
 
Duh watu mna kauli kweli kweli.. eti vibajaji.. ila kuna kaukweli aisee.. yaani miaka ya themanini tulikuwa na ndege kweli.. leo hii tuna vijidege na tunataka kuona fahari
Nipo kwa mbaali nakutazama tu Mzee ...umebakiza 100M ufikie kibao cha U- turn

Teh japo kuna giza na mvua kubwa na mbele huoni vizuri hivyo endesha polepole tu unafika
 
Ila kweli hivi videge sijui vibajaji hizo rangi zake ukiziangalia sana, utadhani vinaumwa dege dege afu vikiruka angani vinaonekana ka mlevi wa Dengerua hivi, havina mvuto kabisa
 
Nakumbuka timu yetu ya taifa ikiwa tia maji tia maji kuna genius mmoja kutoka tff akasema tunafungwa sana tatizo siyo kocha ni rangi za jezi.

Wakasema safi sana wakabadilisha rangi za jezi. Na vipigo vinaendelea.

Bosi akasema maendeleo hayaji kwenye soka kwakua makao makuu ya tff hayapo mjini, akahamia Posta. Vipigo vikaendelea.

Nilichoandika hakihusiani na hapa.
 
Kabisa.
Alafu hata huyu twiga wa ktk bombardier kama simuelewi elewi.
 
Kwa dunia ya leo mabadiliko katika brands(rangi au logo )ni muhimu kuvutia wateja, ebu angalia brands kubwa km coca cola au British Airways zilivyobadilishwa kuendana na wakati .Hii yote ni kwa ajili ya kuendelea kumvutia mteja na kumfanya kutokinai huduma husika , kwa Mantiki hiyo nadhani ni muda muafaka wa kubadilisha muonekano wa ndege zetu ili pia ziendane na matazamio chanya ya Air Tanzania mpya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom