Pascal Mayalla ameitendea haki JF na kuipa heshima

Pascal Mayalla ameitendea haki JF na kuipa heshima

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Ukituondoa sisi wahenga ambao tunamfahamu Pascal tangu akiwa RTD pale Pugu road, wengi wamemjua kupitia maandiko yake hapa JF.

Nimeelezwa na rafiki yangu mmoja aliyepo bungeni kuwa siku ya jana wabunge wengi walitamani kupiga picha ya kumbukumbu na Pascal wakimtambulisha kama " Pasco wa JF" na wengine walitamani kama ingewezekana basi akajieleze ndani ya bunge zima ambako makofi na vigelegele vinaruhusiwa.

Ila huyu rafiki yangu wa mjengoni amenishangaza kitu kimoja, anadai Pascal anahojiwa kwa makala aliyoitoa JF. Hapo nikapigwa na bumbuwazi.

Hongera Pascal wa JF!
 
...ngumu kumeza.. Ata sizonj. Anatembelea humu sana...
 
Back
Top Bottom