Biashara hizi zinashamiri mtandaoni kwa kasi.

Biashara hizi zinashamiri mtandaoni kwa kasi.

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,320
Reaction score
18,599
Sina mengi ila nazidi kushangazwa namna watu wanavyopigania ufalme wa Shetani.

Hakuna aibu tena, watu wameamua kuweka ufusika wao hadharani.

Nafahamu watu tunafanya maovu ila sio kwa staili hii, tumekosa soni kabisa, watu hawajifichi wala kuhofia lolote.

Facebook ndo kimekua kituo kikuu Cha mambo haya ya ajabu.View attachment 750781
Screenshot_20180420-134125.jpg
Screenshot_20180420-133656.jpg
Screenshot_20180420-133649.jpg
Screenshot_20180420-133444.jpg
 
Maskini starehe yake ngono uchumi wenyewe hauleweki unakua kuelekea wapi bora kugegedana tu
 
Facebook Bwana,Halafu utakuta wanaopost hizo wanaume wenzio[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Kwanza kaka natoka hapa nikwambie kitu kimoja, asilimia kubwa (kama 80) wanaofanya hayo matangazo kupitia mitandao ni wanaume. Na hayo unayoyaona hapo na hao unaowaona hapo baadhi ni waathirika wa kitu tunaita cyber crime. kwa dakika kumi tu mtu anaweza kutembelea ukarasa wa msichana ama mdada katika facebook na kuiba picha zao na kisha anatendegeneza group ama page katika facebook au watsapp na kuanza kutangaza biashara kwa kutumia smart phone ya kawaida kabisa. Rafiki yangu mmoja wakati yupo chuo flani hapo dar ilikuwa ndio mchezo wake na kwa mwezi alikuwa anatengeneza wastani wa 150,000 kwa kuibia watu. Kaka wanasema internet ni pori kubwa kuwa makini.
 
Back
Top Bottom