TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 7,288
- 14,106
Wandugu, as I speak, mwenzetu Leonard Kiharuzi yupo Central Polisi, amekua akitafutwa kwa wiki mbili zilizopita, allegedly kwa post/comment aliyosema humu, kwenye group hili, ambayo imetafsiliwa kama matusi kwa Rais Magufuli.
Ameenda Polisi mwenyewe, wamemfanyia mahojiano, wameenda kumpekua nyumbani kwake, na kisha wameandika maelezo mpaka usiku wakakataa kumpa dhamana kwa maelezo kwamba usiku umeingia mpaka kesho
Hili ni Whatsapp group LA graduates wa sheria UDSM