Stuttering/ Kigugumizi

Stuttering/ Kigugumizi

Fulling Porce

Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
39
Reaction score
36
Habari zenu wakuu hoe mnamalizia week vizuri kabisa..
Staraight to the point napenda kujuzwa whats behind this kigugumizi kinasababishwa na nini ? Is it gebetically inherited ? Na pia kuna namna yoyote ile ya kukizuia ama kukiondoa kabisa kwa mwenye tatizo ilo?


Wasalam.
 
Back
Top Bottom