Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Habari wana jamvi?
Nimebahatika kuona wenzetu katika nchi nyingine wanavyotumia mbinu mbadala kusafirisha umeme na kuwafikia wananchi/Wateja wao.
Ombi langu kwa TANESCO waige/wajiongeze kwenye usambazaji wa umeme,waache visingizio vya kusema nguzo hakuna au zimeisha,au kulipisha wananchi pesa nyingi ili wanunue nguzo.
Nawasilisha!!