BANGI A.K.A NDUMU

BANGI A.K.A NDUMU

kiben10

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
615
Reaction score
792
Zimbabwe imehalalisha ukuzaji wa bangi kwa madhumuni ya dawa na shughuli za kisayansi, na kuifanya nchi hiyo ya Afrika kutokuwa ya kawaida kugeuza bangi kuwa chanzo cha mapato.Taarifa ya serikali iliyotolewa na waziri wa afya inasema watu binafsi na makampuni yanaweza kuomba leseni za kukuza bangi, ambayo matumizi yake na umilki wake husababisha hadi miaka 12 jela. Matumizi binafsi ya bangi yanabakia kuwa kinyume cha sheria.Taifa dogo la Lesotho mwaka jana lilikuwa taifa la kwanza Afrika kutoa leseni ya matumizi ya bangi katika dawa. Nchi nyingine zikiwemo Malawi na Ghana zinaripotiwa kuwa mbioni kuhalalisha matumizi kama hayo. Mahakama moja Afrika Kusini ilitoa uamuzi kwamba matumizi binafsi ya bangi ni halali lakini serikali ilikata rufaa dhidi ya uamuzi huo katika mahakama ya kikatiba. Nchi nyingi za afrika zinachukulia ukuzaji na matumizi ya bangi kuwa kosa la jinai.

bangi A.K.A Ndumu
IMG-20180429-WA0009.jpg
 
bangi A.K.A NdumuView attachment 760185

Mbunge Msukuma wa ccm anaweza kulipeleka hili na kulisimamia bungeni mpaka likapita hebu wasiliana naye
 
Back
Top Bottom