MNH wameanza kufanya KIDNEY TRANSPLANTSalaam
Kama picha inavyoonekana na kwa kutambua Jf ni kisima cha taarifa naomba mwenye taarifa za kina anijuze hatua kubwa kwa Muhimbili yetu.
Sikuwa nafahamu hili kama hapa kwetu limeanza kufanyika nilikuwa najua lazima twende India na kwingineko labda.