DHAMBI ZA TANZANIA YETU

DHAMBI ZA TANZANIA YETU

kiben10

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
615
Reaction score
792
Dhambi ambayo zaidi kuliko zote baada ya UOGA, basi dhambi inayofuata ni USALITI.
ASKOFU ALEX MALASUSA WA KKKT na DADY IGOGO WA CHADEMA wote wamezinyea kambi zao. Mwacheni [HASHTAG]#MUNGU[/HASHTAG] wetu alie juu ashughulike nao kwa vitendo mmoja baada ya mwingine.

Nini maoni yako Mtanzania mwenzangu??
 
Da Mange nae Kasalitiwa na Makarai kwenye harakati zake za kuleta ghasia Nchini

Kwa kweli nimewakubali sana Makarai sometime huwa wanaweka Uzalendo mbele
 
Dhambi ambayo zaidi kuliko zote baada ya UOGA, basi dhambi inayofuata ni USALITI.
ASKOFU ALEX MALASUSA WA KKKT na DADY IGOGO WA CHADEMA wote wamezinyea kambi zao. Mwacheni [HASHTAG]#MUNGU[/HASHTAG] wetu alie juu ashughulike nao kwa vitendo mmoja baada ya mwingine.

Nini maoni yako Mtanzania mwenzangu??
Chagadema kwa ubora wao baada ya maandamano almaarufu maandamano ya da mange , kushindwa vibaya sana , sasa mmekuja na swala la usaliti wa kubambikiwa dhidi ya Askofu dk Malasusa , Mungu akulide askofu wetu, nalo limebuma, kifuatacho sasa....Loading........,
 
Back
Top Bottom