cluster ndara
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 211
- 318
Jamani juzi nilisikia waziri mmoja akiwa bungeni akasema, majuto anaumwa yuko kitandani natoa hela zangu mfukoni namuuguza Wakati kuna makampuni makubwa kabisa yamemtumia huyo mzeee halafu Leo wanamtupa natumia hela zangu, Mimi Kama waziri nitaaanza na haya makampuni na itakuwa mfano nikimaliza hili la majuto nitaaangalia wasanii wengne sitakubali watu watajirike Kwa kuwaibia wasanii
Wakuuu huku mkoani hiyo kauli imechefua Sana vijana waliosomea sheria ngazi Ya Cheti wengi wamehoji kuwa huyu waziri mbona ameidhalilisha serikali hivyo? Inamaaana hajui maaana Ya mikataba? Inamaana hajui sheria japo hata ile Ya cheti? Inamaana hajui kuwa hilo la mzeee Majuto kuumwa ni nje Ya makubaliano yao na hayo makampuni? Watu wanasema kuchukua mtu akaweka tangazo ukamlipa kulingana na mkataba mliosaini haimaaanishi kuwa utapata tatizo la kukosa hela Ya kula au hela Ya Ada ya watoto au kuumwa hilo kampuni inawajibika kukusaidia, yani Yule waziri aliongea Kwa nguvu akimaaanisha kuwa anacholallamikia na kuahid kupambana nacho ni sahihi kabisa, jamani huko bungeni Hakuna mwanasheria wa kuwafunda mawaziri? Mbona mawazo mengne wanayiyatoa hayafanani na hadhi Ya uaziri? Ebu mawaziri mnadhalilisha serikali Ya John pombe magufuli jirekebisheni msiroboke hadi mambo ya aibu waziri msomi hawezi kusema mambo Kama Yale
Waziri umepotoka? Au umezeeeka? Kasome sheria hata uwe na sheria Ya Cheti basi ili ujue nini maana Ya mikataba