Technolojia ya Tv na Computer

Technolojia ya Tv na Computer

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Habari za mapumziko Jf.

Naelewa watu wengi duniani pote technolojia ya Television na computer zimebadiri kabisa maisha ya watu kuwa bora kabisa.

Dunia imekua kijiji, yanayotukia ktk ukanda wa gaza ,mtu aliyeko mitaa ya Mumbai anaweza kupata na kushuudia kinachoendelea live.

Kwa msaada wa computer, uandaaji, uhifadhi, na utafutaji wa document umekua rahisi sana. Mfano wasomi wetu wanapofanya literature review kwa ajiri ya thesis zao katika generation hii kuna unafuu sana....ambao sipati picha enzi za analojia.

Kwa upande wangu technolojia hizi bado huwa naziona kama uchawi wa mzungu amabao wanasayansi wanayomaelezo yake. Lakini mazima sina crue how this technology works.

Leo nitoe wito kwa wale guru wa electronics kwa lugha nyepesi naombeni mtuelimishe the basic science ktk technolojia hizi : Tv na computer.

Naomba kuwasilisha

Regards.
 
Ngoja waje watabe wa elekroniksi, nami mkono upo katika batani ya kuwapa likes tu.
 
Halafu msitake niamini humu ndani
Tupo wazee wa art subject tu......
Jf haijawahi muangusha mtu....wazee wa sayansi mje mtutoe gizani na huu uchawi wa mzungu
 
Habari za mapumziko Jf.

Naelewa watu wengi duniani pote technolojia ya Television na computer zimebadiri kabisa maisha ya watu kuwa bora kabisa.

Dunia imekua kijiji, yanayotukia ktk ukanda wa gaza ,mtu aliyeko mitaa ya Mumbai anaweza kupata na kushuudia kinachoendelea live.

Kwa msaada wa computer, uandaaji, uhifadhi, na utafutaji wa document umekua rahisi sana. Mfano wasomi wetu wanapofanya literature review kwa ajiri ya thesis zao katika generation hii kuna unafuu sana....ambao sipati picha enzi za analojia.

Kwa upande wangu technolojia hizi bado huwa naziona kama uchawi wa mzungu amabao wanasayansi wanayomaelezo yake. Lakini mazima sina crue how this technology works.

Leo nitoe wito kwa wale guru wa electronics kwa lugha nyepesi naombeni mtuelimishe the basic science ktk technolojia hizi : Tv na computer.

Naomba kuwasilisha

Regards.
Point of correction. Dunia sio kijiji tena. Bali ni chumba.
 
tafuta kitabu kinaitwa 'But how do it know' kinaelezea in nut shell how computer works.
 
Back
Top Bottom