Malalamiko yangu kwaniaba ya wengi, Jiji la Dodoma na askari wenu wa jiji mnatia aibu na fedheha, naomba niweke kisa cha mimi kufungua nyuzi hii, eneo la Makole hospital ilipo jengo jipya kabisa...
Artificial Intelligence ni controversial sana.
Kuna watu kadhaa kama Bill Gates na Elon Musk wanamsimamo kwamba A.I. itafika mahala ambapo inatambua kwamba binaadamu ni threat kwao na itatufuta...
Mwanasayansi mwenye umri wa miaka 104 David Goodall ameaga nyumbani Australia kuanza safari ya kimataifa kwenda kujitoa uhai.
Sio kwamba mwanaekoljia huyo anaugua mahututi, La, anatamanai...
Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitatu mkazi wa kijiji cha Keringet kaunti ya Pokot amekutwa na sindano 7 za kushonea kwa mkono tumboni mwake, baada ya kupigwa picha ya xray.
Mtoto huyo...
Habari zenu jf
Mi na jambo moja kuhusu hawa wasichanaa A.k.a wadada zetu hivi kwanini hawa watu unapoanza kupata nafsi ya kumueleza hisia zako(kumtongoza), sologan yao kubwa unakuta anakuelezaa...
Napenda kuwapa huu uzi ndugu zangu imekuwa tabia inayoota mizizi na hata kusema pia imeshaota mapembe pia.
Siku 4 zilimepita nimetoka zangu home na gari ya baba sasa kufika maeneo ya Africana...
HOTUBA YA KAIMU MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA (TEF), DEODATUS BALILE KATIKA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI (WPFD) ILIYOADHIMISHWA KITAIFA MEI 3, 2018 JIJINI DODOMA...
Sisikii tena mambo ya ujambazi kama hapo nyuma hata wezi wa simu au bodaboda kuleta fujo barabarani kidogo hizo kesi zimepungua....hongera kwa yeyote aliefanikisha Haya kuwezekana.
YAH: KUANZISHA TAASISI ITAKAYOWATAMBUA WAJASILIA MALI CHIPKIZI HAPA NCHINI
Mh. Raisi, rejea kichwa cha habari hapo juu chajieleza. Napenda kukushauri Mh Raisi uanzishe taasisi...
Mwenyekiti wa CCM wilayani Tarime amelaani vikali mauaji ya kijana Saguti yanayodaiwa kufanywa na askari polisi. Mwenyekiti huyo amesema polisi kazi yao ni kulinda raia na mali zao na si kuwaua...
Usipojua haki zako unaweza kuuziwa chochote kilicho chini ya kiwango na usiwe na cha kufanya au usipojua wajibu wako unaweza ukalazimishwa kutimiza zaidi ya unavyopaswa.
Huwezi kufika mahali...
Hali ya Uchumi ya Tanzania ni nzuri
Wananchi wanafurahia maisha, hawana wasiwasi na wanamkubali kinomanoma
Elimu ya Tanzania ni nzuri kukaribia hata ya Marekani na Uingereza
Ajira zipo nyingi mno...
Huku wakiongea kwa kujiamini kabisa wakiwa na hakikisho kwamba hawana wasiwasi wa kufanyiwa jambo lolote lile na yoyote yule katika Tanzania hii ya sasa Watangazaji wa Kipindi cha 360...
Habari ndugu zangu.
Kwa majina naitwa BWIRE HATARI Naomba kutoa taarifa ya kupotelewa na vyeti .kwa yeyote atakaesikia au kuokota vyeti vyenye majina hayo basi anipe taarifa au atoe taarifu kituo...
Habari za muda wanabodi wote natumaini ni wazima wa afya njema pole na majukumu ya hapa na pale.bila kupoteza muda kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, nakuja mbele yenu kuomba msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.