Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tukio hili limetokea katika kijiji kimoja kilichopo katika wilaya ya MEATU, mkoani SIMIYU. Kijana mmoja amefikishwa mbele ya kikosi cha ulinzi wa jadi SUNGUSUNGU baada ya...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
*MITOMINGI*; nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo *MAMA_MAZOEA*; Basi fanya haraka (Mazoea anatoka, anaenda kwa Ngoswe alipo). *MAZOEA*; Hodi! Hodi! *NGOSWE*...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa onyo hili ila bado utakuta kuna askari wanakula rushwa
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za jioni, Napenda sana kujifunza keyboard (kinanda) na nimedhamiria kununua kimoja kwa ajili ya kujifunzia nyumbani Sasa nilikuwa naomba mwongozo wa kupata keyboard nzuri bajet...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Kila Mtanzania ana haki ya kupata hati ya kumiliki nyumba au ardhi, vitu ambavyo vinaweza kumsaidia baadae kupata mikopo katika taasisi za Serikali au binafsi.Lakini hadi sasa ni asilimia kumi na...
3 Reactions
11 Replies
6K Views
Mtu anawekeza pesa yake kwenye biashara anayoiona inafaa kumlipa faida.Sasa Chakushangaza anabeba jamaa zake kutoka kijijini eti waje kusimamia biashara zake wakati hata lugha ya biashara hawajui...
0 Reactions
2 Replies
641 Views
*13/5/2018* Katika Mahafali ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa *Dar es Salaam* Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM *Ndg Tabia Maulid Mwita(Mnec)* Amewapongeza Vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana JamiiForums. Kwa uzoefu mdogo nilio nao ngoja leo niache uvivu na niyaongelee majiji mawili makubwa na pendwa hapa Afrika mashariki yaani DAR ES SALAAM NA NAIROBI. Nitayaongelea majiji...
2 Reactions
58 Replies
10K Views
..hii sijui imekaaje. ..sheria inasemaje kuhusu masuala yenye utata kama haya?. Wazungu waliozuia Wimbo wa Taifa kutimuliwa Serikali imesema itawafukuza nchini wazungu wa madhehebu ya...
0 Reactions
154 Replies
23K Views
Kwenye michezo kiujumla hatumo, sio mpira wa miguu wala riadha.YAani sisi wa kupigwa 7-0. Kwenye maendeleo hatumo, bado ni maskini wa kutupwa na hata baada ya miaka 54 ya uhuru, Uchumi wetu ni...
1 Reactions
56 Replies
4K Views
Tangu sa 6 niko hospital mpaka sasa na vichanga vya miezi 4, daktari hana habari hata na mimi despite ya kumchimba mkwara Yuko bize na kutibu wazee na watu umri wa kati Natamani kummeza kila...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
R.O.MA 1.(Watu wa Tanzania) Maafande hawaanaga peace niko Kenya nko tungi nala mrungi na polisi Usi download pornigraph kwa wifi ya msikiti. STAMINA 2.Bize natua show collabo o za nchi za kati...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Leo ni siku ambayo duniani kote tunawakumbuka na kuwaenzi mama zetu. Sote tumezaliwa na mama zetu. Hata kama wapo wachache ambao kwa bahati mbaya, kwa sababu hii au ile hawakuwahi kuonja upendo na...
6 Reactions
116 Replies
23K Views
Kuna mtu tulikuwa tukifanya mjadala hapa jf kasema moja ya biashara na baadhi ya shughuli kufeli awamu hii wengi walikuwa wapiga dili Hebu tuanzie hapo kwa wapiga dili Sasa awamu ya nne...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Yafuatayo yanaelezea uwezekano Wa tz ya viwanda Miundombinu mingi imara Mradi Wa stiglers gorge Songosongo/mtwara gas Ugunduzi Wa mafuta lake Nyasa,rufiji na Tanganyika Helium gas only in German n...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Ninaona sasa kuna ongezeko la kutisha la watu mahakamani.Mahakama zinafurika.Nimejiuliza mambo mengi kwa kuwa nilitegemea kutokana na kasi ya sasa hivi viashiria vya wateja wa mahakama kushuka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Calculations Mtu ana gar dogo, naishi kigambon, ila anafanya kaz bandalin au mjin tuseme, analipwa 800000# na kutokana na makato anapata 600000# ana familia pia Njia fupi ya kuwahi kazin ni kupita...
5 Reactions
75 Replies
9K Views
Moja ya kilichochangia kampuni ya Vodacom kupata ni kutokana na mauzi ya data ambayo yameongezeka kwa asilimia 34 na kupelekea faida ya zaida ya shiling bilioni 141. Ni wazi watumiaji wa simu...
1 Reactions
3 Replies
889 Views
Wanabodi Wanasheria wanakawaida ya kuyatenga au kuyagawa makosa katika makundi mfano, Makosa ya Jinai, Makosa ya Madai na au Makosa ya Kikatiba. Mimi ninao theory yangu inayo jitegemea ambayo ni...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Kusaidia wananchi matatizo ya usafiri kutokana na mvua hizi,Eneo la kivule halipitiki kwa gari kutokana na daraja la awali kusombwa na mvua na jipya halijakamilika. Kuliko Jeshi letu kusubiria...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…