Jeshi linaweza weka Daraja la muda Kivule

Jeshi linaweza weka Daraja la muda Kivule

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,811
Reaction score
3,414
Kusaidia wananchi matatizo ya usafiri kutokana na mvua hizi,Eneo la kivule halipitiki kwa gari kutokana na daraja la awali kusombwa na mvua na jipya halijakamilika.


Kuliko Jeshi letu kusubiria vita tu,wanavifaa wasaidie wananchi kama walivyowahi kufanya mlalakuwa,Segerea n,k

Naona hata helkopta zao zimetulia hata kama wananchi wanakuwa katika mazingira hatarishi ya mafuriko!


FB_IMG_1526286392402.jpg
 
Kuna kiongozi gani wa chama au serikali anaishi hayo maeneo?
 
Mbona nyuzi zisizoeleweka jf zinakua nyingi hivi..
Au mimi ndio ninaanza kuchanganyikiwa sielewi watu wanachomaanisha?
 
Back
Top Bottom