Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ong of Songs 8:6-7 i And now in the name of our loving, liberating and life-giving God, Father, Son and Holy Spirit. Amen. From the Song of Solomon, in the Bible: Set me as a seal upon your...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna swali huwa najiuliza hela za wanawake awe mke, mchumba au changudoa huwa zinaenda wapi? Wanapewa hela, wanapokea mishahara, wanahongwa ila ataendelea kukutegemea kwa kila kitu hata simu...
5 Reactions
55 Replies
5K Views
Mimi binafsi ninawashangaa sana Wanahisa wenzangu mliokuwa kwenye kikao cha Wanahisa kumruhusu Dr. Kimei kuendelea kuiongoza CRDB. Siku hiyo hiyo ya kikao angefukuzwa na asingeweza kurudi ofisini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wapendwa, Mimi kwa gharama ya 5.8 mil nilichimba kisima na nimepata maji mengi mno, kiasi kwamba nimeamua kusambaza mtaani kwangu kwa bei ya 1500@unit. Nashangaa sana miradi ya Serikali...
68 Reactions
329 Replies
84K Views
Wakuu naomba kujuzwa hili jambo nimemsikia harmonizer akisema anafunga mwezi huu mtukufu wa ramadhani kupitia wasafi tv na mpenzi wake sara kwamba ni waislamu hayo kaayaongea ktk mualiko maalumu...
1 Reactions
34 Replies
9K Views
Weekend hiyo imeanza wa hapa Dodoma tunajisogeza mnadani kula nyama choma safi kabisa za mbuzi na bia kidogo. Kwa ufupi tupo na Waheshimiwa Wabunge n.k. Mambo ni moto. Kwa wenyeji wa Dodoma Mjini...
2 Reactions
98 Replies
17K Views
Majeshi ya Tanzania yaliingia baada ya kuliteka jiji la Kampala na kukuta maiti kibao zilizoteswa sana na kuwaokoa waliobahatika kuwa hai.
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Salamu Wana jukwaa!. Tangu nijiunge Na JF Leo ni mara yangu ya kwanza ku-post humu jukwaani hivyo basi vumilieni mwandiko wangu sababu sijakaa ki uandishi!. Moja kwa moja twende kwenye mada...
1 Reactions
63 Replies
6K Views
Leo nimesikia kwamba kuna mwekezaji mwingine (investor) kwenye mabasi ya mwendo kasi amejitokeza kutoka DUBAI. Sasa hii yaweza kuwa neema kwa wasafiri wa Dsm hasa wale wa kutoka Mbezi kimara...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Tazama video hii ya kibiashara ya mtandao wa Zain kuhusu Ramadhan yenye ujumbe ambao umeitoa dunia machozi (hususani Mashariki ya Kati) kuna scenes walizoigizwa Trump, Putin, Angela Markel, na Kim...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Jamani naomba haraka anwani ya Katibu Tawala mkoa wa Dar es Salaam haraka tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
UJASILIAMALI NA KUJITEGEMEA KWA KIJANA MKRISTO. Ujasiliamali ni uwezo wa kuitambua fursa na kuitumia. FAIDA ZA UJASILIAMALI 1: Kuishi maisha bila kumtegemea mtu mwingine.(Yaani ajira ya...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Hii habari nimeelezwa na mama ninaefanya nae kazi. Huyu mama ni mpiganaji haswa wa maisha. Mume alimuacha na kuoa spring chicken. Sasa nyumbani yeye ndiyo baba na mama. Alipata safari ya kwenda...
51 Reactions
90 Replies
8K Views
Samahani, Ni mgeni sijawahi kufika Songea na natarajia kwenda huko wiki ijayo,naomba kufahamishwa ni basi gani zuri kwenda huko kwa ndugu zangu wangoni? Natoka Dar es salaam. Natanguliza shukurani.
1 Reactions
51 Replies
13K Views
Anaejua kuishi huenda na muda na hufuata ratiba yake ya msingi,lkn anaejifunza kuishi muda kwake si kitu cha mantiki ni bendera kifuata upepo!. anaejua kuishi starehe kwake ni kwa kiasi lkn...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi ni nani alie sema mwezi wa ramadhani watu wasizini na mwezi miezi mingine watu wazinii?maana wazinifu wote mwezi huu huacha kuzini.na je mtu aƙizini siku moja katika mwezi wa ramaɗhani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yani haiwezekani halotel mnatupunguzia wanafunzi wa chuo MB.. Bila kupunguza kiwango cha pesa... Hii ni hatari Sana wakuu. Leo nimeivunja lain ya halotel.
27 Reactions
229 Replies
29K Views
Askofu mkuu wa Kanisa Anglikana jimbo la Tanzania aliyesimikwa leo mjini Dodoma Dr Mndolwa ameahidi kushirikiana kikamilifu na serikali katika kuitunza amani. Ibada ya kumsimika Askofu Mndolwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za jumatatu tulivu isiyo na mvua Katika kazi zangu za kupita pita huku mtaani nilikutana na hiki kitu ila nikashindwa kukuelewa jinsi ya kutumia achilia mbali kuuliza tu nisije nikaaibika...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Nimesoma kisa kimoja leo kutoka katika Gazeti la Mwananchi la leo ukurasa wa 3 chenye kichwa cha habari 'Deni la sh 600,000 lazuia maiti ya kichanga kutolewa Muhimbili' kilichoandikwa na Mwandishi...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Back
Top Bottom