Msaada:Basi gani zuri la kutoka Dar kwenda Iringa?

Msaada:Basi gani zuri la kutoka Dar kwenda Iringa?

Msafa

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
342
Reaction score
330
Wakuu heshima kwenu.
Nategemea kwenda unyaluni kwa Mara ya kwanza.
Naombeni mnijuze basi gani zuri la kutoka Dar kwenda Iringa lenye USB CHARGING SYSTEM na huduma zingine.

Natanguliza shukrani kwenu.
 
USB tena unaogopa simu ikiisha chaji utapotea mkoani?
 
Wakuu heshima kwenu.
Nategemea kwenda unyaluni kwa Mara ya kwanza.
Naombeni mnijuze basi gani zuri la kutoka Dar kwenda Iringa lenye USB CHARGING SYSTEM na huduma zingine.

Natanguliza shukrani kwenu.
Abood bus
 
Yaani Dar to Iringa unataka basi lenye USB CHARGING SYSTEM?

Wewe inaonekana ukitaka kwenda safari ya DAR - KIGOMA utahitaji TANESCO POWER SYSTEM!
Mkuu jifunze kuheshimu post za wenzio.
 
Back
Top Bottom