Hivi hii imekaaje(sio udhalilishaji kwa wanawake)

Hivi hii imekaaje(sio udhalilishaji kwa wanawake)

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
3,449
Reaction score
2,681
ijumaa karim wana jamvi..
nimekuwa nikiona matangazo ya opera browser na opera newz app ambao ni kitu kimoja katika mitandao yanayohamasisha kui download lakini kwa asilimia 100 ya ADS zao zinalenga udhalilishaji wa kina MAMA na DADA zetu..
binafsi nimeona haijakaa poa..sijajua kisheria imekaaje au ni ruksa kuwa na matangazo ya mtindo wa idhalilishaji ili kufanya biashara...
20180518_092655.jpg
20180518_092602.jpg
Screenshot_20180518-073511.jpg
 
wakupelekwa mahakamani alie pga picha au alie weka
 
opera wanapost story ya uongo hata kama ya uongo inalenga wanawake tu kiwadhalilisha..ili waongeze viewers
 
Hivi wanaodhalilishwaga ni wanawake tu? maana mambo haya yanaanzia toka utoto,unakuta kitoto cha kiume kinaachwa uchi ila cha kike ni nadra sana kuachwa uchi.
 
Back
Top Bottom