Wanaonaje kuondoka mara moja na kwenda nchi zingine??Wawekezaji wa kampuni ya simu za mkononi ya VodaCom Tanzania wapoteza mtaji wa Sh350 bilioni katika kipindi cha miezi mitano tangu kuorodheshwa kwenye Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE)
Chanzo: MWANANCHI
Hii inaoneaha kuwa kuwa vodacom walikua wanatuibia kwa kupika hesabuWawekezaji wa kampuni ya simu za mkononi ya VodaCom Tanzania wapoteza mtaji wa Sh350 bilioni katika kipindi cha miezi mitano tangu kuorodheshwa kwenye Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE)
Chanzo: MWANANCHI
Acha kukurupuka mkuu,sio kila kitu ni cha kupingaHuyu rais tulienae ni balaa kwakuaribu kila kitu alichokikuta.
Swissme
Akili zenu sijui hua mnaziazima wapi sometimes!!...Kupata hasara kwa voda kunahusika vip na Rais au awanunulie vocha?Huyu rais tulienae ni balaa kwakuaribu kila kitu alichokikuta.
Swissme
Sasa hapo umeandika kitu gani, rais na kushuka kwa mtaji kuna uhusiano gani, au kwa vile unalipwa kwa ajili ya kupinga kila kitu cha mheshimiwa rais ndio unaandika,.. emu mkue na mbadilike wabongoHuyu rais tulienae ni balaa kwakuaribu kila kitu alichokikuta.
Swissme
Wanaripishwa kodi kubwa mnoSasa hapo umeandika kitu gani, rais na kushuka kwa mtaji kuna uhusiano gani, au kwa vile unalipwa kwa ajili ya kupinga kila kitu cha mheshimiwa rais ndio unaandika,.. emu mkue na mbadilike wabongo
Ili wewe ufaidike na nnWanaonaje kuondoka mara moja na kwenda nchi zingine??