Tupeane uzoefu wa kujiunga na military

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,017
2,594
Salamu wakuu Nina ndoto ya kujiunga na jeshi kama kuna MTU ana experience na harakati zote na changamoto kiujumla za kujiunge anipe walau fununu wakuu .
 
Una elimu gani?? Kama form 4 bas umri wako usizidi 23. Kama degree holder (I doubt degree holder aje kuulizia jinsi ya kujiunga na jeshi mtandaoni) basi mwisho miaka 28
Uwe na utimamu wa mwili na akili, uwe tayari kulitumikia taifa lako
Subiri nafasi za JKT zije wilayani kwako kisha uombe ukipata kajitolee huko ujile then subiri bogi la ajira . Ukikosa ajira rudi nyumbani
 
Mm pia naitaji recruitment ila sijajua payment level ipo vip mwenye reliable details atujuze tukapige kambi uko jkt
 
Jeshi gani sasa maana tuna majeshi mengi,i.e jwtz,police na magereza na yote nowdays kupata chance ni mtiti,such example mpaka sasa polisi haijachukua vijana wa kwenda mafunzoni ila cha muhimu all in all subiri nafasi za jkt uanzie hapo,maana ukihitimu jkt ndio kazi ya kuanza kuomba uanajeshi,upolisi nk inaanzia hapo,ila directly labda kama kamishna au brigedia babaako ana undugu naye
 
yaani wewe kitu usichokijua ni bora unyamaze kulko kukiongelea we una uhakika polisi haijachukua??
hii wiki ya pili polisi walipochukua watu kwend CCP
 
JESHINI SIO LELEMAMA YAKUPASA UGANGAMALE..KULE HAMNA KULA BATA KAMA HUKU URAIANI... KAZI KAZI
 
Back
Top Bottom