kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,345
- 5,455
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika Serikali ya Awamu ya Tano, Mh. Ummy Ally Mwalimu akiwa wilayani Itilima Bariadi Simiyu katika uzinduzi wa kampeni ya wahudumu wa Afya katika ngazi ya Jamii inayodhaminiwa na shirika la AMREF
Ameagiza watumishi wote wa Afya watakao ajiriwa kupitia mradi huu wa AMREF wawe ni wakazi, wenyeji au wazaliwa wa eneo husika.
Pia ame zugumzia sakata la kukamatwa kwa mirungi kwny Ambulance uko Tarime amelaani kitengo icho na kuagiza kusimamishwa kazi kwa Dereva na wote waliohusika katika tukio ilo pia amegiza hairushiwi kwa mtu ambaye Sio mgonjwa kupanda kwenye magari ya Ambulance wala kubeba mzigo au biadhaa yoyote ile yoyote atakae kahidi maagizo hayo ata pata taaaaaabu sanaaaaa.
Pia ametoa pongezi kwa jeshi la polisi la mara kwa kukamata walifu hao