Ni ukweli usiofichika kbsa TANESCO kilimanjaro hasa manispaa ya Moshi mnakatisha tamaa wadau wa mazingira. Kwa kipindi kufupi mmeharibu kabisa mazingira na mandhari ya mji wa Moshi. Mmekuwa mkikata miti hovyo kabisa....miti iliyopandwa miaka zaidi ya 20 iliyopita na miti mipya ndani ya manispaa na maeneo mengine mnakata bila hata huruma na wal sio kupunguza matawi.
Wadau wa mazingira tunaona sio sawa hata kdg. Inaweza kuwa mti uko karibu na nyaya za Tanesco lakini haimaanishi mti wote na iliyo jirani unahusika.
Mmeharibu mazingira yetu tafadhali kama kuna changamoto toeni elimu kwa wananchi na sio kukata hovyo miti mjue kampeni za kupanda miti zina gharama sana.
Waziri husika na Wadau wa mazingira tuone hili. Mkikata miti inayoleta mvua ambayo inaleta maji kwenye mabwaya ya kuzalisha umeme maana yake hata nnyie hampo salama.