young baba tz
Senior Member
- Aug 30, 2017
- 100
- 141
Katika kufanya utafiti wangu mdogo katika maswala ya udumavu wa akili hasa waafrika nmegundua hiki chakula kinadumaza kweli akili zetu hasa nchi za afrika ambapo ndo hukila kama chakula mama
Haipiti siku bila kukila katika huu utafiti wangu nmegundua hiki chakula kinachotokana na mahindi kinaweza kusababisha udumavu wa akili hasa kikitumika kwa wingi hasa kwa mwanadamu ndo maana ukila ugali au uji lazima ulale na uchoke
Wenzetu ulaya wanatumia mahindi kulisha ngombe ona matokeo yake ngombe huwa kama mazuzu ndo maana marekani asilimia 99 ya maindi ni chakula cha ngombe asilimia 1 ni kwa ajili ya popcon
Matokeo yake wazungu wanakuwa na akili zilizo active kuliko sisi hii ni sababu mojawapo ya ugali tunakuwa na nguvu nying lakini akili ndogo ndo nn sasa jaman dada zetu tuwe wabunifu wa vyakula dah hatuna options ni ugali tu jaman