Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Habari!
Napenda kutoa mawazo binafsi kuhusu tatizo la ajira nchini njia bora na nzuri kwa kutengeneza ajira nyingi zenye manufaa.
1. Sekta zisizo rasmi
Hapa serikali naishauri irasmishe shughuli zisizo rasmi zitambulike na pia taasisi za kifedha zitoe ushirikiano. Mfano, gereji, mama lishe, mafundi nguo, mafundi nyumba, madereva, wakulima, maduka ya reja reja na jumla yaliyopo mtaani nk. Hizi taasisi zikirasmishwa zinauwezo wa kutoa ajira nyingi kwa vijana wenye taaluma mbalimbali na zikapunguza tatizo la ajira. Kwasababu hizi taasisi zinaendeshwa na watu wachache wenye elimu ndio maana hazitoi tija kubwa kwa taifa kama sekta nyingine.