Vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania pongezi kwenu siasa zetu cc RAIA ni changamoto kwenu

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Nakubali kwamba pamoja na changamoto za kawaida kitaasisi kuna changamoto ambazo tunazisababisha cc RAIA

Utulivu wa nchi yetu ni kielelezo cha uchapaji kazi wenu

Mwenyezi mungu vibariki vyombo vyetu vya ulinzi na usalama japo RAIA hawalitambui hili

Uzi huu naomba tutoe pongezi kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama
Tiss
Jwtz
Polisi
Magerereza
Uhamiaji
Tmi
Nk

Uraia wetu tunaposhika nafasi nyeti huwa tunakwaza utendaji wenu mtusamehe
 
Natoa pongezi kwa askari waliokuja kibandani kwangu na kunifunga pingu wakagoma kunieleza kosa langu na kunipiga.
Kisha wakaniambia tumekukamata kwakua umevaa fulana nyeusi na sisi tumeambiwa mtu wetu tutamkuta hapa ana shati jeusi.

Nikaomba nifunguliwe mikono ili nifunge kibanda changu mmoja akaniuliza kwani hauendeshi pikipiki? Nikajibu hapana mimi hii ndiyo kazi yangu. Akasema ngoja tupige simu kuthibitisha, simu ya uthibitisho ikawa haipatikani hewani.

Pongezi sana sana zimuendee dereva wao ambaye akiwa ndani ya gari alisema si tuondoke naye tu kama siyo yeye si atarudi (Mungu ambariki)
Mthibitishaji akaniuliza nina elimu gani nikamjibu akawaambia wenzake wanifungulie.

Hongera zao sana sana sana.
 
Pole sana mkuu.

Haya matukio huwa yanaumiza sana roho sometimes mpaka unatamani kuwa kiumbe mwenye uwezo wa tofauti na binadamu ili uwafanyie kitu mbaya hawa jamaa.
 
Hivi sku hizi wale wazee wetu wanga hawapo jaman zamani hakukuwa na ujinga huu,ilikuwa ukinionea nakugeuza kuku tu
 
Natoa pongezi kwa askari waliokuja kibandani kwangu na kunifunga pingu wakagoma kunieleza kosa langu na kunipiga.
Kisha wakaniambia tumekukamata kwakua umevaa fulana nyeusi na sisi tumeambiwa mtu wetu tutamkuta hapa ana shati jeusi.

Nikaomba nifunguliwe mikono ili nifunge kibanda changu mmoja akaniuliza kwani hauendeshi pikipiki? Nikajibu hapana mimi hii ndiyo kazi yangu. Akasema ngoja tupige simu kuthibitisha, simu ya uthibitisho ikawa haipatikani hewani.

Pongezi sana sana zimuendee dereva wao ambaye akiwa ndani ya gari alisema si tuondoke naye tu kama siyo yeye si atarudi (Mungu ambariki)
Mthibitishaji akaniuliza nina elimu gani nikamjibu akawaambia wenzake wanifungulie.

Hongera zao sana sana sana.
Pole sana mkuu, jamaa wanatumia weledi kidogo kwenye kazi zao.
 
Pole sana mkuu.

Haya matukio huwa yanaumiza sana roho sometimes mpaka unatamani kuwa kiumbe mwenye uwezo wa tofauti na binadamu ili uwafanyie kitu mbaya hawa jamaa.
Walikua askari kama sita wamekuja kumkamata mtu mmoja jumlisha na dereva walikua saba. Halafu mtu ananiambia niwape pongezi.
 
Mbona sasa wanajiua kwa risasi? Au unapongeza kwa kuongoza kujiua?
 
Natoa pongezi kwa askari waliokuja kibandani kwangu na kunifunga pingu wakagoma kunieleza kosa langu na kunipiga.
Kisha wakaniambia tumekukamata kwakua umevaa fulana nyeusi na sisi tumeambiwa mtu wetu tutamkuta hapa ana shati jeusi.

Nikaomba nifunguliwe mikono ili nifunge kibanda changu mmoja akaniuliza kwani hauendeshi pikipiki? Nikajibu hapana mimi hii ndiyo kazi yangu. Akasema ngoja tupige simu kuthibitisha, simu ya uthibitisho ikawa haipatikani hewani.

Pongezi sana sana zimuendee dereva wao ambaye akiwa ndani ya gari alisema si tuondoke naye tu kama siyo yeye si atarudi (Mungu ambariki)
Mthibitishaji akaniuliza nina elimu gani nikamjibu akawaambia wenzake wanifungulie.

Hongera zao sana sana sana.
Inaumiza, pole sana kiongozi.
 
Back
Top Bottom