Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Anaitwa Kolinda grabar-kitarović, jarida la MNTV linaripoti kuwa 'she is the most sexy and attractive president of our era'
Ni Rais wa kwanza mwanamke wa Croatia alichaguliwa mwaka 2015.Uchaguzi wa vyama vingi nchini Croatia ulianza mwaka 1990.
Sasa hivi anatia fola huko Russia kwa kujichanganya na mashabiki na wachezaji wa Croatia. Alipanda ndege daraja kawaida (economy class) na washabiki wengine kwenda Russia, uwanjani alikataa kukaa sehemu ya VIP ili apige 'amsha amsha' ya hamasa vizuri.
Afrika na hapa kwetu,Tanzania nchi maskini lkn mpaka mawaziri wanasafiri kwa daraja la kwanza (first class). Kama timu za Afrika tungevuka hatua ya makundi, Sipati picha marais wa Afrika wangefanya anasa gani Russia.
Angalia hizo picha chini [emoji116]View attachment 805837
View attachment 805838