Je, ni kweli kabisa roho haitengenezeki, i mean seriously?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,066
40,725
Tuwe serious kidogo katika hili, i mean kwani ni kitu gani kikiondolewa mwilini mwako unakufa? Watu wamekuwa wakibadilishiwa viungo kama moyo, ini, mapafu, figo nk. bila.uhai wao kuondoka, ila ubongo naona ndio unakuwa changamoto.
Sasa je, uhai upo kichwani sio? Hivyo ubongo ukifa ndio umekufa sivyo? Sasa ni kweli kabisa ubongo ukizima hauwezi kuwashwa tena kwa namna yoyote ile, hii sio kweli, siamini kabisa!
 
Wako kwenye tafiti... miaka ijayo itawezekana kuuwasha tena!!
 
Back
Top Bottom