Msaidizi wa meneja wa Vodacom Iringa acha majivuno

kalimanzilajuma

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
323
Reaction score
314
Kwa kweli huyu dada msaidizi wa meneja wa voda Iringa (Galus) tunaomba ubadilike.najua Ujumbe utakufikia tu maana unadharau sana.unaweza ukamjibu MTU chochote unachojisikia jua hii ni dunia.
 
Hata kama,pale yupo kwa ajili ya kuwahudumia watu.aise jaribu siku moja uende ndio utakuja kuyaamini haya niliyoyaweka hapa.
 
Kwa kweli huyu dada msaidizi wa meneja wa voda Iringa (Galus) tunaomba ubadilike.najua Ujumbe utakufikia tu maana unadharau sana.unaweza ukamjibu MTU chochote unachojisikia jua hii ni dunia.
Asikutishe huyo,wengi wanajifanya wapo voda Kampuni mama,lakini wengi ni waajiriwa wa subcontract companies,zilizopewa kazi na voda,unaweza kuwakuta hapo vodashop,ukafikiri wote ni wafanyakazi wa VTL,kumbe sio,Voda ilikuwa zamani sio siku hizi,
 
Kwa kweli huyu dada msaidizi wa meneja wa voda Iringa (Galus) tunaomba ubadilike.najua Ujumbe utakufikia tu maana unadharau sana.unaweza ukamjibu MTU chochote unachojisikia jua hii ni dunia.
Vi vyema kama umeamua kuanzisha uzi basi uelezee kila kitu
Ulimuuliza nini akakupa jibu gani ?
 
Huu uzi bila picha hautanoga, wadada wenye sura mbaya wanakuwa na majivuno sana.
Inawezekana ni huyu alieombwa copy... tehteehhh
tapatalk_1530903398300.jpeg
 
Kwa kweli huyu dada msaidizi wa meneja wa voda Iringa (Galus) tunaomba ubadilike.najua Ujumbe utakufikia tu maana unadharau sana.unaweza ukamjibu MTU chochote unachojisikia jua hii ni dunia.

Ukiona Panya wanachezacheza sana Sebuleni jua wameshajua udhaifu wa Paka aliyepo hapo. Kwa lugha iliyo nyepesi na nyoofu ni kwamba ukiwa katika Kampuni au Taasisi yoyote ile halafu ukamwona Mwanamke fulani ana tabia kama za huyu uliyemtaja hapa amini ya kwamba kwa 99.999% anatoka Kimapenzi na ama Bosi Mkuu au Bosi wa Kituo chake cha Kazi alipo. Ukiijua Saikolojia ya Wanawake wala hupati nao taabu Mkuu. Kuna Bosi anampa hizo jeuri na hicho kiburi chote.
 
Back
Top Bottom