Nitashauriana na Mwanasheria wangu kuhusu hili. Ila nasikitika kufanywa kwa vitisho na vinajenga nini. Nia ni huduma ziboreshwe na tuendelee kuwa na imani kama tunavyokuwa nayo kwa Hospitali yetu hii. Nasubiri kusakwa na kwa kuwa ushahidi wote ninao ikiwemo X RAY ya kwanza na ya 2 na risiti zake. Ee Mungu unipe nguvu pale ntakapokamatwa kwa kulalamikia machungu ya mtoto wangu. Siogopi kuteswa wala kupigwa na hata kufunguliwa kesi yote anapanga Mungu. Msemaji angeishia tu kunialika kupeleka ushahidi ila hayo mengin e hatujengi nchi.
Nina haki, tuna haki na haki haitapotea . EE MUNGU NISAIDIE.
Nina haki, tuna haki na haki haitapotea . EE MUNGU NISAIDIE.