Inanikumbusha ile story ya Dr Ndodi, "mashine tumboni inapokuwa imeanza kusaga chakula halafu ukanywa maji basi inasitisha zoezi la kusaga na kuanza kutenganisha maji maji kwanza"
Mara nyingi anayekuja anaanza na moja akiogopa kuendeleza ya mtangulizi wake kwa maana ndo yamemfanya atenguliwe, tutafika lakini kwa kuchelewa!