mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
1:Uwe na utamaduni wa Kusoma na Kuandika zaidi.
2: Afya Bora na Kuwa fiti kimwili iwe kipaumbele chako.
3: Networking (kujumuika na watu): uchangamane ukiwa umejipanga kutoa zaidi ya kupokea.
4:Fanya mazoezi ya Kuongea kwenye hadhara kwa usahihi (practice Public speaking).
5:Uwe wa kufundishika (stay teachable).
6:Tafuta mtu wa kuwa mfano wako (finda a mentor).
7: Usiwatelekeze marafiki (Keep in touch with friends.)
8: Wewe sio Kazi Unayofanya (You are not Your job).
9:Ujue ni wakati gani utaondoka kazini.
10:Usitumie usichonacho (don't spend what you don't have).
wataalam wa mambo ya vijana na maendeleo karibuni mdadavue pumba na chuya.