Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tangu nimekuja huku mjini mara kwa mara hua nikikutana na sherehe za kiislam hua mara nyingi wanaume ndo naona wanapika tena watu wazima kabisa. Na sio hivyo tuu hivi ule ubwabwa huwa wanaweka...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Habari waungwana humu ndani, naomba mwenye taarifa ilipo Mexico Bar hapo sinza tafadhari naomba nijulishwe location na urahisi wa kufika, Karibuni kwa msaada wenu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA) kimepeleka panya buku 22 wenye uwezo wa kutambua bakteria wanaosababisha Kifua Kikuu, (TB) katika nchi za Msumbiji na Ethiopia. Hayo yameelezwa leo Jumamosi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jamii Kwanza naomba niombe radhi kwa jamii itakayohisi au kuona imeguswa kwa namna moja au nyingine lakini kuna mambo lazima yasemwe ili haki za wengine nazi zilindwe Ama baada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari ya wakati huu, Naomba kujua ni basi gani zikitoka mwanza zinaweza kufika Dar moja kwa moja bila kulala Morogoro maana nimeambiwa kwamba gari nyingi zinalala Morogoro. Lakini pia...
2 Reactions
173 Replies
38K Views
Wakongwe habari... Kama swali linavyoonekana hapo juu ni kwamba je? ninaweza kucheza lnternational lottery programs kama vile Mega billionaire ya kule Marekani na zingine za nchi nyingine?? Je...
0 Reactions
2 Replies
912 Views
Walisema wahenga, "Dead men don't talk" yaani "wafu hawaongei". Muogope sana mtu anayekunyamazisha, usitoe maoni au kukosoa. Kumbuka wafu hawaongei, ukinyamazishwa usiongee chochote...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa tetemeko lililopita muda huu aiseee linatisha, nyumba na kitanda kimetikisika na nikaikumbuka Sala ya toba. Japo halikua kubwa ila linatisha
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Maembe yaliyoiva yanavirutubisho vyote muhimu kuliko yale ambayo hayajaiva. Toka zamani kuna baadhi ya wanyama wamekuwa na tabia ya kuiba maembe ambayo yako mitini na kuyala ilihali ni mabichi na...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Na John Walter Babati. Watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamefariki dunia baada ya kupigwa kwa risasi na polisi wakati wakijaribu kutoroka katika bonde la Malangi Babati. Kamanda wa...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
  • Closed
Benki ya NMB imeingia kwenye kashfa kubwa ya kuajiri wakimbizi watatu kutoka nchi ya Burundi, wanaoishi na kufanya kazi kinyume na sheria. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari, wakimbizi hao...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Tunaipoteza asili kwa kasi kubwa na tunashindwa kuukomboa wakati kwakuwa wakati hauna rivasi kama nyoka... Kama bodaboda.,. Hatuna tena yale matunda yaliyoivia mtini na kudondoka yenyewe. Hatuna...
32 Reactions
98 Replies
11K Views
JINSI YA KUFAHAMU PASSWORD YA NAFSI/ MOYO WA MPENZI WAKO Baadhi ya wachawi wana dawa ambazo zinaweza kukufanya kujua anachokiwaza mpenzi wako kupitia ndoto au maono usiku. Katika hali ya...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Kwa mara kadhaa nimekuwa nikiingia humu na majukwaa mengine ya watsap groups, Instagram, na blogs mbali mbali Kinachonishangaza sana ni mada za udaku zinazojadiliwa kila kukicha, kazi zitafanyika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Heshima kwenu wanabodi Kila mmoja wetu jua kuna siku moja atakufa, lakini bahati mbaya kabisa hakuna hata mmoja kati yetu anayeamini kabisa kabisa kwamba kuna siku atakufa na kufukiwa chini ,kama...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, tangu serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani kumekua na mkanganyiko mkubwa kuhusu sera na utekelezaji wa yale wanayoyatamka, sasa tukiwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jifunze kushikilia vitu, watu au hata maslahi unayoyapenda kwa umakini zaidi sababu sio kuwa unavipoteza kwa kukosa umakini hapana umakini unao sana ila hukumbuki ulianzia wapi umakini wako kabla...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
haters watakufa kihoro mwaka huu kwa chuki!
6 Reactions
104 Replies
14K Views
Kiukweli startimes punguzeni bei ya vifurushi maana tunalipia ghali mnoo kifurushi cha nyota ni 10000 kwa mwez kwa wateja wa dish hii sio fair Halafu channel zenyewe hata 20 hazifiki
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…