Acha kupenda vya dezo wewe,Kiukweli startimes punguzeni bei ya vifurushi maana tunalipia ghali mnoo kifurushi cha nyota ni 10000 kwa mwez kwa wateja wa dish hii sio fair
Halafu channel zenyewe hata 20 hazifiki
Sasa kama kashindwa kwenye elfu 10 ataweza huko kwa mkaburu kweli?Hamia Dstv mkuu
Hahahah njoo DSTVTulia ww, unafikiri watu wote ni sawa???
pengine malalamiko yatapunguaSasa kama kashindwa kwenye elfu 10 ataweza huko kwa mkaburu kweli?
Mimi wananikela kupunguza chanel wapuuzi sanaKiukweli startimes punguzeni bei ya vifurushi maana tunalipia ghali mnoo kifurushi cha nyota ni 10000 kwa mwez kwa wateja wa dish hii sio fair
Halafu channel zenyewe hata 20 hazifiki