Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu wenye tabia za kuweka vyombo vya udongo kabatini eti wanamtuzia mgeni ni ujinga mkubwa sana. Unakuta baba mwenye nyumba analia kwenye sahani ya plastic halafu kabatini kumejaa sahani za...
17 Reactions
52 Replies
8K Views
June 25, 2018 JESHI la Polisi mkoani Ruvuma, limewakamata watu wanaodhaniwa kumuua kwa kumnyoga kwa kumvunja shingo mtoto wa jamii ya kifugaji aliyetambulika kwa jina la Chanya Rugwashi (12)...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Serikali ya mkoa wa Songwe inatarajia kuwapeleka watumishi wake katika kambi ya jeshi ya Itaka wilayani mbozi ili kuwapatia mafunzo ya ukakamavu, lengo ni kudhibiti uzembe kwa vitendo na badala...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Nimeiona habari hii katika gazeti la mwananchi online. Hii ni funzo kwa madereva na hata kwa askari wadhalimu ambao aghalabu hawajui wajibu wao barabarani ni upi...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Haya ni baadhi ya mambo ambayo ni haki ya mtuhumiwa, mwuulize kiko wapo kitambulisho chake? Ni haki yako. Askari akikukamata akuonyeshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama hata kama anasema...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni jambo la kushangaza kwa anayejiita mwanasheria ku-Retweet na kusambaza vitu vya kijinga kama hivi. Automatically namfananisha na mwandishi wa hiyo tweet , mzushi Mange Kimambi ! Rais wa TLS...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hii kauli yakusema vyuma vimekaza ni aina Fulani ya uchoyo na ubinafsi!hata yule aliyekuwa analipwa 1milioni na hadi Leo mshahara wake ni ule ule na yeye utasikia vyuma vimekaza!basi njoeni mje...
0 Reactions
9 Replies
876 Views
Ni mirefu inafunika viganja, inaonekana kama oversize, na hii ni karibia suti nyingi anazoonekana nazo President hadharani. Tuna designers wazuri hapa Tanzania wawatumie hao kama yule kijana...
8 Reactions
113 Replies
25K Views
Habari zenu, naomba kupata ujuzi kidogo, Naona magari mengi yanayoingizwa Tanzania bara kutoka Zanzibar, yanafanyiwa Registration upya, Nauliza je ni registration tu? Au na kodi unalipa upya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mamia ya abiria waliotakiwa kusafiri kwa meli ya Mv.Nyehunge kutoka jijini Mwanza kuelekea wilayani Ukerewe wamekwama kwa siku Nne katika bandari ya Mwaloni Kirumba jijini humo baada ya kushindwa...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Matangazo Yamezidi si kwenye TV si kwenye simu zetu Sasa hivi imefikia washindi wanaonyeshwa katika Matangazo ya biashara Kutwa Tunashuhudia mmoja wa washindi akizungushwa mitaani akiwa juu ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Sisi tunatoa fedha kwenye mzunguko. Tunakusanya kodi kwa TZS, tunazibadili kuwa $ ili kumlipa Mkandarasi. Sasa tumeanza kuchukua mikopo ya kibiashara kwa riba kubwa (credit suisse alone...
1 Reactions
1 Replies
671 Views
Mbwa anayetafutwa ni mbwa special aliyetolewa na Serikali ya Marekani na ana uwezo wa kunusa pembe za tembo kwenye makontena bandarini. Naona kama hajaonekana, kamanda sirro IGP ni bye bye
0 Reactions
10 Replies
5K Views
SINGIDA Ajali ya barabarani eneo la KIZAGA wilayani IRAMBA inasadikiwa watu wawili wamepoteza maisha baada ya Lori kugonga kwa nyuma Lori jingine na gari dogo aina ya hiace iliyokuwa imesimama...
1 Reactions
34 Replies
8K Views
Namshukuru Mungu, kwa kila kheri anifanyiayo.....nimeanza kufanikisha kilichonileta huku ili nirudi Home (TZ) Kwa wakati!! We are CHANGING THE PEOPLE'S MIND ABOUT ENVIRONMENT AND CLIMATE!!! Ila...
5 Reactions
65 Replies
6K Views
Wale walioenda kwa Makonda kudai haki zao kwamba wametelekezewa watoto wameshapatiwa suluhisho?? Na wanaume walioitwa na wakagoma wamepewa adhabu gani?? Mikwara mbuzii
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekaa kwenye grocery enzi hizo ndo zinaingia namuona mzee wangu ninaempenda mzee mrema kawaka kweli kapanic kweli kweli pembeni yupo kijana mtanashati na mic yake anaconect maswali kutoka kwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Yahusu lile agizo la muda wa usafi siku ya jumamosi, kwa masikitiko makubwa mkuu wa mikoa alitengua agizo la kufungua maduka na sehemu za biashara saa nne asubuhi, lakini cha kushangaza agizo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu ,naomba Msaada wenu kwa anaye jua. Nina mdogo wangu kapangiwa hospital ya rufaa Manyara kupitia hizi ajira ambazo zilitolewa na Wizara ya Afya, tofauti na zile za Tamisemi. Anaomba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Pepo hawajaifikia baadhi yao ila wako kwenye blissful state... Hii ni kwa majibu wa wale wasioamini katika Mungu mmoja... Kwa wale waaminio katika dini ya Mungu mmoja marehemu wote wako kuzimu...
9 Reactions
61 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…