Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu habari za jioni, Nimekaa nimewaza tu sijui ni pumba au ni point. Nimewaza kutokana na mkuu wa mkoa wa DSM, Paul Makonda kuwa na moto wa kupenda kufanya mabadiliko ya kuamsha macho na hisia...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Scholar # 1. Mtoto hapashwi kumpenda, kumsifia na kumshukuru sana Mama yake kwa Kumzaa kwakuwa hata Kiiumbaji ni jukumu la Mama kubeba Mimba na Kumtunza Tumboni mwake ndani ya hiyo miezi Kenda au...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hali hiyo imejitokeza siku moja baada ya uchunguzi wa Kamati ya Bunge kubaini kushuka kwa mapato yatokanayo na madini ya Tanzanite asilimia kubwa ya wachimbaji hawana vitambulisho,nafikiri hili...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
gari yangu ndogo saloon kuna wakati inawasha taa ya check engine inapotembea ,lakin wakati mwingine haiwaki.Nimeenda kwa mafundi wawili tofauti mechanics wameniambia engine haina tatizo.kama kuna...
0 Reactions
21 Replies
27K Views
Natafuta miche 20 ya mwashoki..Nitaipata wapi na kwa bei gani kwa mche ..Nimejaribu kuchek pale mcity na Sayansi sijafanikiwa kuipata..In addition to that natafuta pia maua aina ya Jasmine..With...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF? Stori kidogo kuhusu maisha niliyokulia: Kwa kifupi, marehemu baba alikuwa mtumishi wa umama, na alipofikisha umri Wa miaka 50 akaamua kustaafu kwani alikuwa na ndoto ya kuwa...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Zamani tulikua tunapiga kandanda kioma
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kila kitu kinaonekana wazi na kujieleza. Dalili zote ziko wazi na kinachobaki ni mda tu, vijana wamesoma na wanasoma lakini kuna kitu hawana na kimepotea. Hawana maadili kabisa, maisha wanayoishi...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Unaambiwa eti fulani kashinda milioni 11 jina lenyewe hata ukilitafuta kwenye kitabu cha majina ya tanzania hupati Wacha niwape heshima Biko maana nimeshatusua mpaka milioni 1 Lakini hawa tusua...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu Wakuu.. Kumekuwa na makusanyiko ya Semina Mbalimbali hasa kipindi cha Kikwete na Kumeibuka washauri kibao wa Kipindi hicho ,semina Hizi zikiwa zinawataka Wahudhuriaji Kujikwamua...
22 Reactions
101 Replies
9K Views
Habar, Inakera sana kujisifia kwenye vyombo vya habari kuwa huduma ktk ofisi za ardhi zimeboreshwa na zinatolewa kwa haraka wakati ofisi ya kamishina wa ardhi nyanda za juu ,mbeya ni miaka sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii ni barabara ambayo ilikuwa inatumiwa na viwanda vikubwa vya >KIOO LTD >KONYAGI >COMFY MAGODORO >KAMAL STEEL >STEEL MASTER >TANZANIA PRINTERS > >AZAM ICD >FANTUZ ICD > lakini baada ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
hili la cluodsfm radio kupiga wimbo wa Taifa kila asubuhi.. hivi nani alishauri muwe mnapiga hii au ndo masharti ili chombo kiendelee kupata uhai. wimbo huu hupigwa tu pale inapotokea dharula za...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Hawa jamaa wanatengeneza barabara za jiji sasa wanamwaga vifusi vya udongo mwekundu mfano huku sinza ni OVYO SANA kuanzia kuta za nyumba ni zote zimegeuka nyekundu,unaingia ndani ya nyumba vumbi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kati ya mambo yanayonifurahisha ni kumuona Rais wa zamani wa Marekani akizidi kutoa somo kwa waafrika juu ya ujenzi wa jamii bora na mataifa makini. Lakini pamoja na kuongea na kutufundisha sana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Watu wawili wanadhaniwa kufariki dunia na wawili kujeruhiwa vibaya baada ya Malori mawili kugongana usiku huu katika eneo la Logia Mjini Babati Mkoani Manyara. Taarifa ambazo Muungwana Blog...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
#NENO_LA_SHUKRANI. Na Kumbusho Dawson Siku ya tarehe 03/12/2017 katika ukurasa wangu wa Facebook nilichapisha chapisho lililoambatana na picha zinazoonesha nyufa katika moja kati ya majengo ya...
53 Reactions
151 Replies
15K Views
Nilikuwa napitia tuuu baada ya machungu ya kukosa ajira ya ualimu nikajaribu kupitia walimu walioajiriwa wa mwaka 2016 na kisha nikapitia wa mwaka 2017. Nilianza na waalimu waliomaliza 2016 ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
So I heard its Nelson Mandela’s day today. Okay, fair enough. So can we have or create Patrice Lumumba’s day? Can we have Thomas Sankara’s day? Can we have Julius Nyerere’s day? Can we have...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Wakuu, nyie wenyewe mmejionea jinsi watoto wa shule ya sekondari ya Jangwani wanavyoathiriwa na maisha ya mjini. Nikajiuliza, kuna ubaya gani iwapo sasa shule ya Jangwani ikahamishiwa nje ya mji...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom