Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sijui serikali imekuaje au nini si elewi Utaratibu! Mbona Vitambulisho vya Taifa Imekuwa kazi Sana Kuvipataaa kuliko kitu kingine chochote? Na sahizi ukienda Sehemu nyingi asilimia 99% wanataka...
1 Reactions
72 Replies
8K Views
Wandugu assallam, Muda huu majira ya saa kumi nilikuwa maeneo fulani mitaa katika mji wa mafinga ambapo nimeshudia vijana wa boda boda katika kijiwe cha njia panda ya gesti ya mziwanda karibia...
8 Reactions
222 Replies
23K Views
Mwanaume_anaweza_kuchepuka_na_bado_akawa_na_upendo_wa_dhati_kwa_mke wake lakini #mwanamke_hawezi_kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa* dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Nilitembelea maonesho ya Nane nane last year Arusha. Watu walikuwa wengi kiasi. Nilipofika karibu na banda la Veta walikuja mbele yangu wadada watatu. Walivalia kawaida kidogo. Suruali za wawili...
4 Reactions
125 Replies
12K Views
Kufuatia matokeo ya kidato cha sita 2018 mikoa ya Mtwara na Lindi imekuwa na matokeo mazuri sana na nkoa Lindi ume maintain matokea yake kwasababu hata mwaka 2017 ilikuwa ya 2 kitaifa huku mkoa wa...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Abeid Salum Khamis (20) mkaazi wa furaha chakechake mkoa wa kusini Pemba, jana ameanza kuhesabu siku yake ya kwanza kutumikia miaka tisa (9) Jela huku akitakiwa kutoa faini ya shilingi laki nne...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kifurushi cha nyota kilikua 4000 mara 5000 mara 6000 mara 7000 Cha mambo kimefika 13000 Cha nyota dishi ni 10000 Hivi kwanini mnawafanyia watanzania hivi kwa kuwakatoa local channel??? Kiukweli...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
You can walk a mile in my shoes but you will not understand my journey. What I am going through now is my journey not yours Mine journey is mine
4 Reactions
8 Replies
832 Views
Benki ya Stanbic Tanzania imezindua kampeni maalumu kwa ajili ya chata yake, yenye kauli mbiu isemayo “Zaidi ya Benki”, ikijitofautisha na taasisi nyinginezo kwa kuwa benki yenye kugusa wateja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pendekezo la waziri wa mambo ya ndani mh Kangi Lugola la kuyawezesha mabasi yasafiri usiku, nimelipokea/ limepokelewa kwa nderemo na vifijio kote nchini. Tatizo ni jinsi ya kuyadhibiti ndio shida...
8 Reactions
75 Replies
8K Views
Habari zenu wanajamvi. Kumradhi kama kichwa cha uzi huu kina mkanganyiko. Nia na madhumuni ya uzi huu ni kuomba mawazo kwa wataalamu wa rasilimali watu Tanzania. nimeomba kazi ya HR na Sifa kuu ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimeipenda sana No 9.sasa unaruhusiwa kujisaidia haja kubwa na ndogo popote unapotaka ktk jiji la Dar es Salaam maana makosa hayo kisheria hayana faini.... Jionee mwenyewe hapo chini[emoji116]...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Zile taarifa kwamba majeshi ya Tanzania kuwa vinara wa ujangili wa maliasili umeendelea kujidhihirisha ambapo kwa mara nyingine moja ya majeshi ya Tanzania limehusika na ujangili wa wanyamapori...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za asubuhi; Wakuu ningependa kufahamu kwa ambao wamewahi tumia huduma ya Internet ya ADSL kutoka TTCL.Katika huduma hii TTCL wanakuletea Landline ofisini kisha wanakuunganishia na Data je...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Toka nikiwa mtoto nilikua na tatizo la kutoka damu puani yaani zinatoka haswaaa. Tofauti na watu wengine mimi damu zilikua zinatoka tundu la kulia tu zikianza kutoka zinatoka karibia ujazo wa nusu...
12 Reactions
53 Replies
8K Views
SHINYANGA: Kijana Ngassa Mathias (24), mkazi wa Kitongoji cha Kiloleli, Kijiji cha Ilebelebe, Kata ya Itilima, Wilaya ya Kishapu amekamatwa na jeshi la polisi baada ya mama yake mzazi, Nyawamba...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jeshi la polisi Tanzania limeandaa kitengo maalumu kitakacho fanya 'doria' mtandaoni kufuatilia wasanii pamoja na wale wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya kutuma picha za utupu na video zisizo...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Baada ya kugundua mume wake ana mchepuko amvizia akiwa bafuni anaoga na kumwagia mafuta ya moto yaliyo sababisha kifo chake. Siku hizi trend ya wanawake kuwamwagia waume zao maji ya moto au...
2 Reactions
112 Replies
9K Views
Ukiona mwanamke / mwanaume amenunua asali ndani kwake na hataki iwe inaisha, na kama ikitumika kwa mambo mengine ( chakula etc ), jifikirie mara mbili mbili sana. Huyo ana maovu yake kuhusu...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Mishale ya saa inakwenda kasi sana na mbona siku zinendelea kuwa fupi kila kukicha ? Masaa yanakwenda kwa kasi sana siku hizi. Unakaa kidogo jua limezama, hujakaa sawa joo wanawika kumekucha ...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom