Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Hii kauli yakusema vyuma vimekaza ni aina Fulani ya uchoyo na ubinafsi!hata yule aliyekuwa analipwa 1milioni na hadi Leo mshahara wake ni ule ule na yeye utasikia vyuma vimekaza!basi njoeni mje kubeba box nchi tuwauzie wazungu[emoji1]