Kutunza vyombo vya udongo kabatin ..ni...ujinga wa kiwango cha Phd

watu wenye tabia zakuweka vyombo vya udongo kabatn ..eti wanamtuzia Mgen niujinga mkubwa sana.

Unakuta baba mwenye nyumba analia kwenye sahan ya plastic alafu kabatin kumejaa sahan za udongo.
Kwani akilia kwenye sahani ya plastiki kuna anachokosa?
 
watu wenye tabia zakuweka vyombo vya udongo kabatn ..eti wanamtuzia Mgen niujinga mkubwa sana.

Unakuta baba mwenye nyumba analia kwenye sahan ya plastic alafu kabatin kumejaa sahan za udongo.
Mwambie mkeo atunzie kwenye chungu
 
Nunua mwenyewe sahani vikombe na bakuli mwambie mkeo mie
uwe unanipakulia humu hivyo vya mfupa wa tembo pakulia wewe
 
Acha ubahili nunua vya kutosha mwambie mkeo plastic zote akachome moto.

Anyway akina sie tunaweka kabatini kama pambo tu.
Mapambo ya nyumba hayo hajui tu, badala ya kulalama humu akanunue vingi aone kama hatapakuliwa humo
 
Wamezoea kukariri tu,kuna vitu wawe wanauliza kwanza kabka ya kulalamika mitandaoni.

Kuna vyombo vingine vizuri kweli fahari ya macho.
Mapambo ya nyumba hayo hajui tu, badala ya kulalama humu akanunue vingi aone kama hatapakuliwa humo
 
watu wenye tabia zakuweka vyombo vya udongo kabatn ..eti wanamtuzia Mgen niujinga mkubwa sana.

Unakuta baba mwenye nyumba analia kwenye sahan ya plastic alafu kabatin kumejaa sahan za udongo.
Ni Fasheni Tu Na Ulimbukeni. Wengine Huweka Hivyo Vyombo Kama Mapambo Tu, Utakuta Hata Wageni Hawapewi Chakula Kwenye Vyombo Hivyo. Mtu Anaolewa Mpaka Anazeeka Ana Vyombo Vya Ujanani. Raha Ya Chombo Kitumike
 
Back
Top Bottom