Anayeshona suti za Rais Magufuli arekebishe mikono

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
7,121
10,231
Ni mirefu inafunika viganja, inaonekana kama oversize, na hii ni karibia suti nyingi anazoonekana nazo President hadharani.

Tuna designers wazuri hapa Tanzania wawatumie hao kama yule kijana aliyebuni vazi la Rais Lungu wa Zambia wakati wa inauguration yake.

Otherwise safi..

======

1453250176499.jpg


1453250216961.jpg
1453250192960.jpg
 
Binafsi hata mimi nimeliona hilo.
Ila kiukweli Marais wetu wengi wa Africa hawazingatii sana MUONEKANO na hata their BODY LANGUAGES sio confident and manipulating pindi wanapokutana na their counterparts, hii huwafanya kuonekana very inferior na huleta sana athari katika maamuzi ya kutetea maslahi pindi wakutanapo na wajanja.
 
ukweli hata mimi nilipoiona nikashikwa bumbuazi kuwa aliyeshona hakuwa na vipimo!
 
Aende Msoga kwa Chotara wa Kikwere kwenye Semina elekezi za Mavazi. Jk na Uzee wake anapiga Suti surual kichupa,Travolta mguuni, shati kitu cha Modal yaan kwny Pamba jk ana A kwny utendaji hahaha linazungumzika!
 
Ni mirefu inafunika viganja,inaonekana kama oversize,na hii ni karibia suti nyingi anazoonekana nazo President hadharani. Tuna designers wazuri hapa Tz wawatumie hao kama yule kijana aliebuni vazi la rais Lungu wa Zambia wakati wa inauguration yake. Otherwise safi
Kila mtu ana staili yake. Suti hajaanza kuzivalia ikulu. Tunachojali ni utendaji wake wa kazi. Waliokuwa 'wanajua kuvaa' walishakuja na kuundoka. Mwisho wa siku hatutauliza Rais alikuwa anavaa nini bali alitufanyia nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom