Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana jamvi, Kwa sie wakazi wa kitunda tumekuwa tuna adha kubwa ya kukabwa hasa nyakati za usiku kutoka kwa vijana wadogo wenye silaha kama mapanga na visu,yani ikifika saa 4 tu ukiwa road...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuna tofauti kubwa ya mwezi wa saba miaka ya nyuma na mwezi wa saba miaka hii ya sasa Mwezi wa saba wa miaka ya nyuma ilikuwa muhimu sana na ikisubiriwa kwa hamu na mashamushamu lakini miaka hii...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa sheria za Uingereza zilizopitishwa tangu karne ya 12 Bata maji (mute swan) wote waliopo nchini humo ni mali ya Malkia wa Uingereza. Sheria hiyo ilipitishwa ili kuwazuia wananchi wa...
5 Reactions
41 Replies
7K Views
Habari wakuu Kuna vipimo vinavyotumika kupima virusi vya ukimwi vingi vinakinzana majibu yani vingine vinaonyesha unavirusi vingine hauna ,lakini michezo yote hii na ufake wote ni sababu ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nashukuru sana wakuu kwa mawazo yenu kwa mada iloyopita kuhusu kujenga kwa MILLION 7.Kwa mawazo niyopata nimegundua hujenzi hautaji kukurupuka, ujenz unataka uende taratibu taratibu, ukipata...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
JAMBO LA KUSIKITISHA SANAA WAKATI WANANCHI WAMEENDELEA KKUGOMA KUCHOTWA MCHANGA WA MTO KAWE HUKU BAADHI YA WAHUNI WAKILETA VIJIKO VYA KUBEBEA MICHANGA NA KUJAZA KWENYE MALORI YAO WAKIWALIPISHA...
0 Reactions
2 Replies
856 Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa wanaanza wenyewe ' Kujiua ' kama siyo ' Kujitoa Uhai ' hovyo hovyo halafu tunapewa sababu za ' Kitoto ' kabisa sijui ni Wivu wa Kimapenzi na Msongo wa mawazo. Pole...
25 Reactions
70 Replies
10K Views
habari wadau, hili limekuwa likiniumiza sn, nani anawajali hawa watu ofisin?, wanapewa posho ndogo, huku wengine hawapewi kitu, wanafanya kazi nyingi huku waajiriwa wenyewe wanarelax. wote...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Leo kwenye hospitali moja iliyoko jimbo la Kawe nimeshuhudia ugomvi wa kati ya mtosha mshuru wa maegesho ya magari na ndugu wa marehemu aliyefariki kwenye hospitali hiyo wakati akipatiwa matibabu...
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Kwanini walimu wanatengwa sana hapa Tanzania ? Mara nyingi sana utasikia wataalam wa kada fulani fulani kama Wahandisi, Wahasibu, Madaktari, Wafamasia, Maendeleo ya jamii n.k wakishiriki kwenye...
1 Reactions
6 Replies
836 Views
Mwanzilishi wa kampuni ya bia ya Heineken Bwana Alfred Heineken alitengeneza chupa ya bia yenye umbo la tofali, ili watu kutoka mataifa masikini watakaokunywa bia zake waweze kutumia chupa hizo...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Leo 18/072018. Maji yanayo toka kwenye mabomba ya mji wa TANGA kweli ni aibuu kwa uongozi wa mkoa mzima. Nimeamka asubuhi kujianda kwenda kwenye mizunguuko ya siku ile nafungulia maji kweli...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
King'amuzi changu cha star time hakioneshi Chanel za local zaidi ya TBC msaada kwa mwenye ujuzi anasaidie natanguliza shukran
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimesikitika sana, Obama kaja nchini, kaona Bora akacheke na fisi kuliko kukutana na viongozi wetu. Hata alipoonana na waziri wa mambo ya nje alimwambia kwa dharau, mwambie rais wenu anipe kiwanja...
7 Reactions
103 Replies
8K Views
Gari la kubeba wagonjwa la Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu limepata ajali, huku ndani likiwa na matairi chakavu 9. Ajali hii imetokea siku chache baada ya serikali kupiga marufuku magari hayo ya...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Wadau, Habari nilizozipata na ambazo zimethibitishwa na mwalimu mmoja ni kwamba mkuu wa Shule ya Sekondari ya Jangwani amesisimamishwa kazi kutokana na kufanya vibaya kwa shule hiyo katika...
21 Reactions
139 Replies
21K Views
Wana jamvi polen na majukumuu Niende kwenye madaa Dogo ana division 2 ya 12 Ana History D ,Geo D and Eco D Math ana F kote a level na olevel naombeni nimshaurije huyuu dogooo asome nini wadauu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawezi kuwa mwingine.Ni yule ambaye Dr.Ulimboka na Madaktari wenzake wanamlalamikia.Ni katika harakati za kumnyamazisha na kutisha wengine.Ni huyu ambaye amewahi harakaharaka kuunda tume za...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari wanajamvi Naandika Haya nikiwa ndani ya ukuta wa mererani kwa machungu kutokana na usumbufu unaotukumba sisi tunaojipatia kipato chetu kutokana na madini ya Tanzanite. Serikali ilijenga...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom