UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,384
- 980
Kuna tofauti kubwa ya mwezi wa saba miaka ya nyuma na mwezi wa saba miaka hii ya sasa
Mwezi wa saba wa miaka ya nyuma ilikuwa muhimu sana na ikisubiriwa kwa hamu na mashamushamu lakini miaka hii ya leo hakuna hamu kabisa ya mwezi wa saba tena inawezekana ndo mweziunaochukiwa zaidi
Miye LEO ndo nimekumbuka ni mwezi wa saba unakaribia kuisha
Je wewe unauonaje mwezi huu wa saba unavyokaribia kuisha una tofauti gani na miaka ya nyumba ?