Kwa matokeo ya Form six haya ameniomba ushauri asome nini

kibori nangai

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
1,066
1,315
Wana jamvi polen na majukumuu
Niende kwenye madaa
Dogo ana division 2 ya 12
Ana History D ,Geo D and Eco D Math ana F kote a level na olevel naombeni nimshaurije huyuu dogooo asome nini wadauu ,nafahamu huku kuna maexpert watanisaidiaa
Bila kusahau mahitaji ya sasa ya sokoo la ajiraa kwa wakati ambao atakuwa amemalizaaaa chuo
 
Ajaribu Education ( Elimu Maalum ) kama watawala hawatabadilika, naona wanaajiriwa kwa sasa !
 
Back
Top Bottom