Takribani wiki moja sasa mgambo wa jiji wamekuwa wakikagua usafi maeneo mbalimbali ya jiji lakini zoezi hili sasa linaenda kuwa kero kwa wananchi maana wanatoza fine kubwa sana ya sh 50,000 na...
Hawa jamaa nimewakubali sana wamerudisha local channel sasa ni bure yaani Itv, startive, eatv na tbc
Nashukuru kwa kutupa vingamuzi kwa shilingi 36000 tu na kuangalia miezi 3 bure
Thanks...
Ule mkataba kati ya Tbc na startime magu alimpa makyembe siku kadhaa kuuchunguza na kuuletea majibu iliishia wapi mbona kimya tu?
Mbona kama ilikua ni kutafuta kick?
Mkataba wenyewe unasemaje?Hebu...
Haki hii Tanzania ina maajabu
Hapa alikuwa anazindua mashine ya kusaga na kukoboa ambayo alisema ni kiwanda.Kumbe JPM akiwa Singida alisema ukiwa na cherehani ni kiwanda.
Hata Mwijage ashawahi...
Mzuqa!
Angalia dakika za mwisho kwenye hii video msafara wa Mfalme Salman huko Jidah Saudia dakika za mwisho mwisho huyu mmatumbi alivyo na kiherehere.
CC: Elungata
ATCL ombi langu kwenu, wateja wa ndege yenu wamekua wakiuliza maswali sana kwenye account yenu ya twitter kuhusu safari ya hiyo ndege sasa mmekua kimya sasa sijui mnataka Rais Magufuli ndo ajibu...
SALUTE.
Binaadamu wotee dunia tunatafuta ridhiki ili kukidhi mahitaji yetu mbali mbali. Hata mtu akufanyie fitina vipi ridhiki yako itakufuata popote pale ulipo.
Zifuatazo ni njia tatu ambazo...
Sikuwahi kujua sababu za machine za vitambulisho vya kura/uraia kuibiwa.
Uchunguzi uanzie kwa hawa jamaa.
Na kwann ninewaza hivyo, ni kwa sababu mradi wa zile machine unacost Billions of money,CDM...
Nchini Cameroon ambako mzozo kati ya vikosi vya serikali na jamii inayozungumza lugha ya kiingereza umesababisha wanawake wengi kufanya majukumu ambayo kwa kawaida hufanywa na wanaume-majukumu...
Malkia wa urembo katika gereza kuu la wanawake la Lang'ata jijini Nairobi amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na kosa la kumuua mpenzi wake.
Ruth Wanjiku Kamande alipatikana na kosa la kumuua...
Rais wa Marekani Donald Trump anakusudia kumwalika Washington, Rais wa Urusi Vladmir Putin baadaye mwaka huu, licha ya kuendelea kuwepo ukosoaji juu ya mkutano wao uliofanyika Jumatatu wiki hii...
Ushahidi wa kuonyesha kuuibiwa pesa yangu kwenye account pamoja na chaguzi sahii bila kukosea. Mara ya Kwanza mwishoni mwa wiki niliibiwa hivyo hivyo nilichagua kifurushi cha elfu 10 wakanila elfu...
Nadhani mmefikia ukomo wenu wa kutuhudumia wateja wenu ambao tuna matumizi mazuri ya internet, kwa hili bundle la wiki university offer kutoka kwenye dk 15 hadi 10 za mitandao yote hili halikuwa...
Nalazimika kuja na post hii kutokana na matukio kadhaa ya hivi karibuni ambayo yanayojitokeza tukiwa barabarani tunakimbizana na mkate wetu wa kila siku. Nashindwa kuelewa kama matukio haya...
Aro ni dawa nzuri sana ya kusafisha choo, ila Kiingereza kilichotumika kwenye Tahadhari kwa Mtumiaji ni kibovu ajabu lakini si jambo la ajabu kwasababu waliotengeneza si Waingereza
Wengi wanajiuliza swali hili, Je ni muda gani mtu wa kawaida analala wakati wote wa maisha yake?
Ikiwa kiafya inashauriwa kwamba usingizi wa binadamu uwe ni masaa yasiyopungua 8 kwa usiku mmoja...
Ndg zangu nawasalimu. Kumekua na watu wachache wanaopenda kula kiulaini katika kijiji cha Ngaritati wilayani Siha wanaofanya ubambuzi wa nguvu wakidai wanabambua sh 9000 ya chakula cha wanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.