uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
Leo 18/072018. Maji yanayo toka kwenye mabomba ya mji wa TANGA kweli ni aibuu kwa uongozi wa mkoa mzima.
Nimeamka asubuhi kujianda kwenda kwenye mizunguuko ya siku ile nafungulia maji kweli nitope tupu, haya fai hata kwa mifugo.
Sio mara ya kwanza kwa Maji ya tanga kutoka yakiwa machafu kwenye mabomba. Cha kushangaza huta sikia mtu akitoa tamko.
Sisi wananchi tunaendelea kulipia BILI maji ambayo haya fai kwa matumizi ya binadamu.
Hata siku moja sijawahi kupata barua toka Idara ya Maji Tanga (TANGA UWASA) kuomba MSAMAHA au kuelezea kuwa hakutakuwa na tozo kwa maji ya siku fulani ambayo yalikuwa machafu.
MAJI YA TANGA LEO HAYAFAI KWA MATUMIZI YA BINADAMU. HASA KWENYE KATA YA MABAWA.
Hii ni aobu kwa Jiji la Tanga. TANGA UWASA je hii nisawa kutulipisha bili za maji machafu?????View attachment 812338