Miaka ya hivi karibuni kumeibuka utamaduni wa wenye mamlaka kukiuka sheria za nchi kwa maana ya katiba kwa makusudi wakati mwingine kwa kisingizio cha maamuzi kutoka juu bila kupataja huko juu ni...
Habari wakuu,
Mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima, Josephat Gwajima amewasili ofisi za clouds media kama alivyoahidi. Kuwa pamoja nami nikujuze kinachojiri.
=======
Kiongozi huyo wa kanisa...
Waungwana nauliza kama naweza kwenda na usafiri binafsi Dar to Mtwara. Napenda kusafiri usiku vipi usalama wake utakuwaje kwani kulikuwa na matukio ya kibiti ambayo sifahamu yaliishaje
Hakuna haja ya maneno mengi , Napandisha ushahidi sasa hivi , ni vurugu mechi hakuna hata pa kupita kwa waenda kwa miguu , imenusurika barabara ya mwendokasi tu !
Mitaro nayo yaanza kufurika na...
Tanzia
Mke wa rais wa zamani wa Tanzania Kikwete , Salma Kikwete amefiwa na baba yake mzazi, mzee Rashid Mkwachu hii.
Kwa mujibu wa mbunge wa Chalinze, Ridhwani Kikwete mazishi yatafanyika kesho...
Mimi ni mbongo nlieishi China kwa miaka minne hadi sasa. nimesafiri mikoa mbalimbali ya hii nchi inayotoa mamilioni ya watu kutoka umaskini kila mwaka, nimepita sehemu maskini na miji tajiri...
Nimestuka baada ya kugundua kwamba kumbe kuna barabara nyingi za vumbi katikati ya Jiji la DSM.
Nilikuwa sitegemei kwamba kwa umri wa jiji kama hili tunaweza kuwa na hata mita 100 za barabara ya...
Habari wakuu wa jukwaa hili.
Naombeni msaada wa KIMAWAZO,
Mimi ni mhitimu kidato cha sita, Nataka kuendelea Na chuo LAKINI cha mafunzo ya Ufundi(fani ) Kuna fani ya ujenzi(uashi)...
Habarini za Jioni,
Mwaka 2008 nilikuja hapa Mjini Dar es Salaam, baada ya kumaliza Form four na nilibahatika nilikuwa na vi akili kidogo mjomba wangu alinitaka nije nikae nikiwa nasubiri matokeo...
Kuna dada mmoja kapata ajali leo na kuvunjika mguu hivyo akapelekwa Hospitali ya Mkoa Morogoro; cha kushangaza ni kuwa hakuna hata drip, wala paracetamol sina uhakika ni kwa makusudi au ni kweli...
Familia hoi huko kando ya Bwawa la Nyumba ya Mungu hasa vijiji vya Mikocheni A, Ngorika, Kirya na Kambi ya Swala… Ni baada ya Bwawa la Nyumba ya Mungu kufungwa kwa muda mrefu hali inayosababisha...
ILI KUPATA TAARIFA JUU YA PRIVACY YA CONTENT ZETU HUMU JAMVINI NAENDA WAPI??. SIKUMBUKI KAMA BAADA YA NYIE JAMII KUACHIWA NA KURUDI HEWANI KAMA MMESEMA LOLOTE ILA NAKUMBUKA WAKATI MMEENDA OFFLINE...
7 Reasons Why Africans are Poor and How to be Rich in Africa !
BY Sir Dismas BH
1. Most Africans are religious, but not spiritual.
Religion is a significant part of Africans, but unfortunately...
Mh IGP naomba kuleta malalamika yangu ktk mtandao kulilalamikia jeshi la polisi upande wa kanda maalumu kwakufanya mambo yanatushangaza.
Jeshi la police limekuwa liki isumbuwa familia yetu...
Habari,
Leo asubuhi katika mihangaiko yangu, nilipita mitaa ya Kariakoo mbele ya mlango wa kuingilia terminal ya Gerezani pale, kuna mtoto mmoja amekaa na mama yake anaomba hela pale...
Jela / gerezano ni habari nyingine kabisa. Usiombee kufikwa na hii kitu. Na usimuombee ndugu yako kwenda huko. Hakufai kabisa…
Kuna watu wameshaenda jela either mara 1 au zaidi ya mara moja. Yote...
Jaman wakuu humu ndani inakuaje mamlaka ya mawasiliano imetangaza chanel 5 bure na Leo Mi nimekatiwa kisa mwezi umeisha?. Tuwekeni channel izo watu tufuraie uhuru huu
KAMA nakuona unavyotikisa kichwa na kujiuliza leo Anti ameleta kuku na pumba tena? Na utatikisa kichwa na mijicho kuitoa sana mwaka huu! Jitu zima hoooovyoooo kutwa kumkosesha amani mkeo...
Habari wana jamvi,
Kwa sie wakazi wa kitunda tumekuwa tuna adha kubwa ya kukabwa hasa nyakati za usiku kutoka kwa vijana wadogo wenye silaha kama mapanga na visu,yani ikifika saa 4 tu ukiwa road...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.