Naomba kufahamishwa mabasi yanayofanya safari za Dar kwenda Songea kupitia Lindi

James88

JF-Expert Member
May 14, 2017
1,700
1,754
Naomba kufahamu kama kuna mabasi ambayo yanaanzia safari zake Dar hadi Songea moja kwa moja via Lindi.

Naomba kuyafahamu kwa majina kama yapo.

Yapi ni mazuri na nauli zake zimekaa vipi?

Je, yanaanzia safari Ubungo au Mbagala?

Nadhani ni hayo tu.
 
Ipo superfeo na selous zote hizo company zinamabasi ya kutosha dar to Songea kupitia lindi
 
Nenda ubungo mkuu kuna DILIMULINE ya Ardhini kitu MANING NICE aka MANINGNING. Full pupwe ac na WiFi. Nauli nimesahau hats hivyo inapanda na kushuka ila siyo chini ya 40000/Tsh
 
Back
Top Bottom