Tunashughulika na mbwakoko

Tunashughulika na mbwakoko

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,079
Reaction score
12,312
Je nyumbani kwako una mbwakoko? yaani mbwa mzee mgonjwa na waliozaliana bila mpangilio na unapata taabu sana kuwatunza kuwalisha? je una mbwa asiyekuwa na adabu anang'ata watoto hovyo anakula mayai ya kuku na anakamata kuku wakitoka bandani? basi usisite kutuambia tutakuja kumchukua na kumhamisha ili uondokane na hii kero.

Wapo wanao amua kuwatoa nje ya uzio lakini ujue atakuwa anashinda getini kwako na muda mwingine atakufuata hadi ofisini. wapo wanao wabeba kwenye magari na kuwatupa mbali porini hapana usisumbuke hivyo, tuite.
 
Mkuu nenda kijenge na baadhi ya mitaa ya a town huitaji hata kuwaomba ni unajikamatia
 
sio mnaenda kuwapa kipigo cha mbwa koko?😀😉🙂😀
Hatuna sababu ya kuwadhuru. Wapo wanao waondoa majumbani kikatili ikiwemo kuwatumbukiza chooni kuwapiga risasi na kuwanyonga au kuwapa sumu sio njia nzuri na inaweza acha picha mbaya kwa wanafamilia wako
 
Mnawapeleka wapi hao mbwa jamaaa? Maana isije kuwa chanzo cha mishkaki jioni
 
nyie ndo mnae yule anaetafutwa na mvaa bendera na mtembea na ilani?
Hapana sie unatuita tunakuja kumchukua kwa makabidhiano na tuna vifaa bya kumkamata na kumbeba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom