Naomba maelezo machache kuhusu tandahimba

Naomba maelezo machache kuhusu tandahimba

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,587
Reaction score
43,010
Memba wa jf mwenyewe info za tandahimba plz nakuomba uje humu
 
Sababu humu kuna member wa kila aina. Unaezashangaa unapewa info za madanguro
 
tandahimba gari la mkoa au nini unataka embu nyoosha maelezo mkuu tuliza boli kidgo
 
Tandahimba juu ya

1.aina ya uwekezaji
2.umbali toka dar kwa km
3.elimu na taasisi zake mashuhuri
4.dini/imani
5.usalama kutokuwepo wasiojulikana
6.siasa
7.kilimo
8.tamaduni
9.aina kuu ya ndoa
10. Mabinti bar na hotel
 
Tandahimba juu ya

1.aina ya uwekezaji
2.umbali toka dar kwa km
3.elimu na taasisi zake mashuhuri
4.dini/imani
5.usalama kutokuwepo wasiojulikana
6.siasa
7.kilimo
8.tamaduni
9.aina kuu ya ndoa
10. Mabinti bar na hotel
namba 9 hapo una maanisha nn
 
Back
Top Bottom